Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,428
- 27,138
Hili naungana na wewe. Bahati nzuri mimi natembea sana maeneo tofauti tofauti kutokana na shughuli zangu hivyo nimejionea kwa macho sio kusimuliwa.Hivi unajua kuna mila ambazo hadi leo zinakeketa wanawake?
Unajua kuna maeneo hadi leo mwanamke ruhusiwi kusoma na anaozwa akiwa na miaka 6 kwa lizee la miaka 50?
Unajua kuwa wanawake wangapi wapo kwenye ndoa lakini wananyanyasika? Mume haachi matumizi akirudi kalewa anapiga kwanzia mke hadi watoto?
Hayo ni machache, msiwe mnajadili mambo ambayo hamyajui .
Mwanamke ana haki ya kusoma, kwani tunahitaji matabibu wanawake na mfano wa hayo. Shida baada ya kusoma hufata nini na hali huwaje ? Yaani baada ya kujenga huwa mnabomoa.Unajua kuna maeneo hadi leo mwanamke ruhusiwi kusoma na anaozwa akiwa na miaka 6 kwa lizee la miaka 50?
Hili nishakujibu katika uzi mwingine, nashangaa unarudia rudia kuuliza mambo uliyo jibiwa.Ajabu ipo wapi kuwa zaidi ya mwanaume? Kama uwezo anao kumzidi mwanaume kuwa mpole
Kwahiyo majibu ya kumtoa katika huu mtihani ndiyo kumfundisha ajilinganishe na sisi ?
Kujadiliana na watoto wa kike huwa shida sana, na kunataka uvumilivu mno.Hivi una uelewa wa kuelewa vitu? Ni kwamba hauelewi kabisa au jeuri tu?
Umeng'ang'ana kujilinganisha na sisi kujilinganisha na sisi? Nani amesema anataka kujilinganisha na nyie?
Nafikiri katika kufundishana hizo harakati mngefundishana na somo la hekima na busara ..Maana bila hivyo mtazidi kubomoa jamii kuliko kuijenga.Yaan kwa kifupi ni kwamba mwanamke pia alizaliwa kwa kusudi la Mungu na ana ndoto zake za kutimiza maishani, aachwe atomize ndoto zake hata ziwe kubwa vipi asiwekewe vikwazo kama vilivyopo sasa hiv kwenye jamii kwa ujumla
Heshima kwa mume mke anayo tuuu akiwa Hana chochote na zaidi anayo Sana akiwa ana mume anayesupport kutimiza ndoto zake.
Maisha yanakua matamu mnooo. Sio mume akiona mke anauwezo anapambana kumgandamiza kwa madai hatakiwi kuwa na uwezo ohh kisa wewe ni mwanaume, uwezo wa mke hauwi limited na uwezo wa mume.
Swadakta, halafu wanatoa mifano ya kawaida sana, suala ls kukeketwa ubaya wake uko wazi, lakini wao ndiyo wanaona hoja, kadhalika shule.Nafikiri katika kufundishana hizo harakati mngefundishana na somo la hekima na busara ..Maana bila hivyo mtazidi kubomoa jamii kuliko kuijenga.
Focus imewekwa kwenye competition zaidi kuliko kupinga uonevu.
Nyie mnatahiriwa sio?Kujadiliana na watoto wa kike huwa shida sana, na kunataka uvumilivu mno.
Ulichokisema ninakielewa vizuri na ninaweza kukuelekeza pia,ndio maana huwa nakariri kwa kusema haya mnayoyadai ni vivuli tu ila mwisho wa siku msingi wenu ni kufanana na sisi. Sasa wewe ndiyo ulitakiwa au hao viongozi wenu waweke wazi juu ya hili, siyo mnadanganywa kwamba mnataka haki sawa na huku si haki sawa bali kufanana kwa haki. Yaani leo hii mkiona mwanaume ni konda wa dala dala na wewe uwe konda au mfano wake, huu ni mfano wa hitimisho lenu na harakati zenu, yaani wakubwa zenu wanatumia madhaifu na makosa fulani ambayo yanajulikana ili kuwaleta katika ushindani na sisi, hivi hamuwezi kutetea haki zenu bila kutuweka sisi kama marejeo, yaani "mbona wanaume wanafanya kadha? "
Hayo mengine uliyo yaandika yanarejea katika haya niliyo yaandika. Sasa kama hujaelewa hiki nilichokiandika,hiyo tena si kazi yangu, na kwa kukupa faida soma historia ya hizi harakati na ujue sababu ni ipi na ilikuwaje, hizi zikianza karne ya 19 kuja 20 huko umagharibi kisha Ufaransa, Marekani mkaletewa nyinyi huku.
Nisikuchoshe bibie, kazi yangu mimi nimemaliza.
Huenda wewe una mtazamo tofauti ila kinachoonekana kwenye Campaigns za ukombozi wa mwanamke ni kama revenge plans.Nani amesema anataka kuwa kama mwanaume?
Asilimia kadhaa ya waliozaliwa wanaume wamefanya transition kuwa na mwonekano wa kike. Hawa wanaitwa Trans women. Ukikutana nao utadhani wanawake kabisa.Kujadiliana na watoto wa kike huwa shida sana, na kunataka uvumilivu mno.
Ulichokisema ninakielewa vizuri na ninaweza kukuelekeza pia,ndio maana huwa nakariri kwa kusema haya mnayoyadai ni vivuli tu ila mwisho wa siku msingi wenu ni kufanana na sisi. Sasa wewe ndiyo ulitakiwa au hao viongozi wenu waweke wazi juu ya hili, siyo mnadanganywa kwamba mnataka haki sawa na huku si haki sawa bali kufanana kwa haki. Yaani leo hii mkiona mwanaume ni konda wa dala dala na wewe uwe konda au mfano wake, huu ni mfano wa hitimisho lenu na harakati zenu, yaani wakubwa zenu wanatumia madhaifu na makosa fulani ambayo yanajulikana ili kuwaleta katika ushindani na sisi, hivi hamuwezi kutetea haki zenu bila kutuweka sisi kama marejeo, yaani "mbona wanaume wanafanya kadha? "
Hayo mengine uliyo yaandika yanarejea katika haya niliyo yaandika. Sasa kama hujaelewa hiki nilichokiandika,hiyo tena si kazi yangu, na kwa kukupa faida soma historia ya hizi harakati na ujue sababu ni ipi na ilikuwaje, hizi zikianza karne ya 19 kuja 20 huko umagharibi kisha Ufaransa, Marekani mkaletewa nyinyi huku.
Nisikuchoshe bibie, kazi yangu mimi nimemaliza.
Usifananishe jamii za mashwaini wa ulaya na purebreed Afrikanus!Asilimia kadhaa ya waliozaliwa wanaume wamefanya transition kuwa na mwonekano wa kike. Hawa wanaitwa Trans women. Ukikutana nao utadhani wanawake kabisa.
Lakni watu kama nyie mna lalamika ni sisi tunataka kujifananisha na nyie. Haya hamyaoni?
hiki kitu kilikuwa na negative impact ulaya, wakaona wakilete na Africa ili kuvuruga jamii zetu na utamaduni imara tuliokuwa nao.Swadakta, halafu wanatoa mifano ya kawaida sana, suala ls kukeketwa ubaya wake uko wazi, lakini wao ndiyo wanaona hoja, kadhalika shule.
Ukiwabana wanaanza "oooh wewe huelewi mara kadha... "
Jambo lolote linaanzaga vizuri lakini hawakosekani watu wa kulitumia kwa maslahi yao.Huenda wewe una mtazamo tofauti ila kinachoonekana kwenye Campaigns za ukombozi wa mwanamke ni kama revenge plans.
Kwamba kundi la sasa la wanawake wawe empowered ili nao wawe kama wanaume meaning wawe equipped kielimu na kichumi ili wachague either kutii mamlaka ya mume au kupuuza.
Kuna msemo niliona kuna mdada kapost kwenye status yake unasomeka,,,"The more i can pay my own bills the more that i find a man more useless"...
Utaona kwa picha halisi kuwa kadri mwanamke anavyopata mamlaka ndio kadri ambavyo anakua na mentallity ya kumchukulia poa mwanaume..Mtajenga familia gani hapo?
Ha ha ha ha ha ha ha.Usifananishe jamii za mashwaini wa ulaya na purebreed Afrikanus!
Huo ushenzi umebarikiwa na watu hao hao ambao wanajiita watetezi wa haki za binaadamu. Those guys are Evil!
Wanaume gani hao? Maana hapa bongo sijawaona bado!Ha ha ha ha ha ha ha.
Haki za binadamu na wanaume wanataka haki ya kuwa kama wanawake[emoji23][emoji23]. Halafu mnatusingizia sisi tunataka kuwa kama nyie.
Upo sahihi kabisa.Lengo laweza kuwa jema kwa walioanzisha. Lakini kuna wabinafsi flani wa kike wanatumia kama kichaka. Nikitegemea hizi harakati zisimbae huko vijijini ndani ndani ambako hata boda boda kupita ni shida. Ila kwa uvivu wao wanazifanya huku mijini hata wale wasiokuwa hata na redio ambao ndio walengwa haziwafikii.
Kutokuwaona haimaanishi hawapo.Wanaume gani hao? Maana hapa bongo sijawaona bado!