Ni ipi nafasi ya mahakama kwenye vyama vya siasa ( pingamizi la zitto).

Ni ipi nafasi ya mahakama kwenye vyama vya siasa ( pingamizi la zitto).

Nelson Kileo

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2011
Posts
3,053
Reaction score
3,259
Wadau washeria naomba kuelemishwa sheria inavyoapply kwnye vyama vya siasa na mahakama ina sehemu gani juu ya maswala ya vyama vya siasa nikihusisha direct sakata la Zitto kabwe kuweka pingamizi Mahakamani juu ya kikao na maamuzi ya kamati kuu juu yake .

Na kama mahakama ina nafasi hiyo ..basi ni yapi tuyataraji kama maamuzi sahihi ya mahakama.

Ningeahukuru kusaidiwa ..
Na natumaini nitapata majibu ya kisheria zaidi ... nikimaanisha vifungu vya Sheria both kutoka Kwa msajili mkuu wa vyama inasamaje , katiba ya nchi inasemaje , sheria za kimahama juu ya issue kama hiyo zinasemaje , pamoja na Katiba ya Chama (CHADEMA)
 
Back
Top Bottom