Ni ipi nafasi ya viongozi wa dini katika katika mstakabali wa amani ya nchi?

Ulimbo

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2009
Posts
3,766
Reaction score
4,048
Nijuavyo mimi, viongozi wa dini wan nafasi kubwa sana katika kusimamia viongozi wa nchi. Zamani wafalme walikuwa hawaendi vitani bila kuuliza ruhusa toka kwa makuani/manabii. Kiongozi wa dini walikuwa na mamlaka ya kukemea wafalme pale walipoenda/tenda kinyume na kusudio la Mungu.

Kwa kipindi hiki, wafalme wa nchi (Marais) hawaheshimu tena viongozi wa dini, bali wanawadharau na kuwaona kuwa hawana mamlaka ya kukemea maovu yanayotendwa na viongozi wa nchi/serikali, na ndiyo maana hata wengine wamekuwa wakiwaambia waamue siasa au dini.

Laajabu wanaosema hayo ni waumini wa dini na wanawategemea hao viongozi wa dini kuwaombea. Kwa wakristo, kuwaombea viongozi/watawala ni agizo soma:

1 TIM. 2:1-4 SUV
Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote; kwa ajili ya wafalme na wote wenye mamlaka, tuishi maisha ya utulivu na amani, katika utauwa wote na ustahivu. Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.

Lakini je, hawa viongozi wanaosema waombewa pale mambo yanapokuwa magumu, na yakilainika wanawadharau hao wanaowaombea, kwa nini viongozi wa dini kwa pamoja wasitoe tamko la kutowaombea hao viongozi wanapohitaji maombi na waambie wazi kuwa ntakuombea pale tu utakapokuwa unafuata taratibu na maadini ya dini, vinginevyo hatufanyi hivyo. Nafikiri hili lingewashikisha adabu hawa watawala.

Nawasilisha.
 
kila jambo na wakati wake kaka pamoja na hayo hao wote waliuawa na hao watawala tena walikuwa na manabii wao ambao waliwambia yote waliyoyataka tena kumbuka kristo Yesu masihi wa bwana kuna manabii waliidhinisha kuuwawa kwake,Kwa hilo dunia haijajibu mpaka leo be calm, come 2035 kaka.
 
Viongozi kina kina askofu shoo na bagonza wamejaa uhaini tu na makafala

State agent
 
Je,wanaamini kwenye hayo maombi au bla bla tu?.Tujue hilo kwanza.Isije kuwa ni kaole sanaa group kuonesha kwamba wanawathamini viongozi wa dini.Nyeupe,nyeupe.Nyeusi,nyeusi.Nukta.

Back
Top Bottom