Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 3,098
- 5,451
maiti = corpsenimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA wajuvi njooni mnijuze ni ipi ngeli halisi ya maiti?
Nawakumbusha pia ngeli ya uwanja ni U-ZI kwa maana hiyo wingi wa neno uwanja sio Viwanja.
Naomba turudi kwenye swali la msingi, msaada tafadhari
Mkuu kuna mawili katika hili, ama wew haujankelewa au mimi sijakuelewa.. Tuvute subra kidogomaiti = corpse
nimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA wajuvi njooni mnijuze ni ipi ngeli halisi ya maiti?
Nawakumbusha pia ngeli ya uwanja ni U-ZI kwa maana hiyo wingi wa neno uwanja sio Viwanja.
Naomba turudi kwenye swali la msingi, msaada tafadhari
sorry nilidhani unataka translation ya neno "maiti" kwa Kiinglishi!😳😳Mkuu kuna mawili katika hili, ama wew haujankelewa au mimi sijakuelewa.. Tuvute subra kidogo
√Maiti moja Imepatikana
Maiti tatu Zimepatikana
=I - ZI
Maiti ni i-zi.nimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA wajuvi njooni mnijuze ni ipi ngeli halisi ya maiti?
Nawakumbusha pia ngeli ya uwanja ni U-ZI kwa maana hiyo wingi wa neno uwanja sio Viwanja.
Naomba turudi kwenye swali la msingi, msaada tafadhari
Asante sana!Maiti ni i-zi.
Ngeli ya a-wa, kwa ninavyojua mimi, kwa muktadha huu, ni ngeli inayotumiwa kwa vitu hai.
Kwa mfano. Tunasema meza imepatikana. Hatusemi meza amepatikana. Kwa sababu meza si kitu hai.
Tunasema njia imepatikana. Hatusemi njia amepatikana. Kwa sababu njia si kitu hai.
Tunasema kunguru anaruka. Hatusemi kunguru inaruka. Kwa sababu kunguru ni kitu hai.
Tunasema mtoto amepatikana. Hatusemi mtoto imepatikana. Kwa sababu mtoto ni kitu hai.
Inawezekana tunasema maiti amepatikana katika namna moja ya kuisitiri maiti, tunamuongelea mtu aliyefariki kama mzima, kwa kutumia tafsida ya heshima pekee kwa mtu (kama tunaposema amefariki badala ya amekufa), lakini, hususan kabisa ya maiti ni imepatikana, si amepatikana.
Linguistic mzuri wewe, nimeelewaMaiti ni i-zi.

Maelezo safi Sana.Asante sana!
Asante sana!
Maiti ni i-zi.

Sasa wajuba kwa mfano marehemu ni A-Wa au I-Zi ??Maelezo safi Sana.
Unamaanisha uwanja ni WANJA ama mimi ndio sielewinimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA wajuvi njooni mnijuze ni ipi ngeli halisi ya maiti?
Nawakumbusha pia ngeli ya uwanja ni U-ZI kwa maana hiyo wingi wa neno uwanja sio Viwanja.
Naomba turudi kwenye swali la msingi, msaada tafadhari
Hapana ni NYANJAUnamaanisha uwanja ni WANJA ama mimi ndio sielewi
I-ZInimepitia kamusi mbili tofauti moja ni ya TUKI iliyo chapwa na Oxford latest version ambayo inasema ngeli ya maiti ni I-ZI lkn pia nimepitia kamusi ya Longhorn inayosema ngeli ya maiti ni A-WA wajuvi njooni mnijuze ni ipi ngeli halisi ya maiti?
Nawakumbusha pia ngeli ya uwanja ni U-ZI kwa maana hiyo wingi wa neno uwanja sio Viwanja.
Naomba turudi kwenye swali la msingi, msaada tafadhari
thanks alots ndugu kwa msaada wako na mchango wako mkubwa maana sio kazi ndogo hiyo uliyoifanya hapo.Maiti ni i-zi.
Ngeli ya a-wa, kwa ninavyojua mimi, kwa muktadha huu, ni ngeli inayotumiwa kwa vitu hai.
Kwa mfano. Tunasema meza imepatikana. Hatusemi meza amepatikana. Kwa sababu meza si kitu hai.
Tunasema njia imepatikana. Hatusemi njia amepatikana. Kwa sababu njia si kitu hai.
Tunasema kunguru anaruka. Hatusemi kunguru inaruka. Kwa sababu kunguru ni kitu hai.
Tunasema mtoto amepatikana. Hatusemi mtoto imepatikana. Kwa sababu mtoto ni kitu hai.
Inawezekana tunasema maiti amepatikana katika namna moja ya kuisitiri maiti, tunamuongelea mtu aliyefariki kama mzima, kwa kutumia tafsida ya heshima pekee kwa mtu (kama tunaposema amefariki badala ya amekufa), lakini, hususan kabisa ya maiti ni imepatikana, si amepatikana.
Nakushukuru sana kunishukuru.thanks alots ndugu kwa msaada wako na mchango wako mkubwa maana sio kazi ndogo hiyo uliyoifanya hapo.