Ni ipi ngeli ya neno MAITI?

Kuna tofauti gani kati ya neno UWANJA na KIWANJA ?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wajuba kwa mfano marehemu ni A-Wa au I-Zi ??
Kwasabau sio kitu hai
Unaweza kusema marehemu ilikuwa mwizi sana
Unapozungumzia alichokifanya marehemu inakuwa unaongelea kitu alichofanya marehemu kipindi cha uhai wake, hivyo utakuwa unaongelea wakati wa uhai wake hivyo itatumika ngeli ya A-WA

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Kwani ngeli ndo Nini[emoji41]

kelphin kepph
 
Kuna tofauti gani kati ya neno UWANJA na KIWANJA ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwanja kipande cha ardhi iliyowazi na kitatumiwa kwa kitu fulani na Kiwanja ni kipande cha ardhi, aghlabu kinachotumiwa kwa kujengwa nyumba.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Kwani ngeli ndo Nini[emoji41]

kelphin kepph
Ngeli ni kundi moja la majina yaliyo na upatanisho mmoja wa kisarufi unaofanana na viambishi vya umoja na wingi ambavyo ama hufanana au kulingana.

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 

TEACHER.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Nimekuelewa vizuri sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngeli inayotumika hap ni A-WA kwa maana mtu hata kama akifa hadhi yake hubak hai hawez kufananishwa na vtu visivo na uhai japo kwa muda huo hatakuwa na uhai ila haiondowi hadhi yake ivo tunasema maiti atasailishwa na maiti watasafilishwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…