Mmh! mtakuwa mnalea kama yai, miezi 9 na mwaka sasa, bado anakula ziwa la mama.....
Kitaalamu mtoto uachishwa kunyonya kwanjia mbali but chua hizi
~Kumpatia chakula kwa series za kawaida (asb, mch na jion) kizuri na nyororo, Hataacha.
~Kumpatia maji, chai au uji pindi atakapo kunyonya
~Kumpakia pilipili ziwa la mama akitaka kunyonya, na hapo ataliogopa kabisa
~Mwisho ni kumnyima tu pindi atakapo, na kumlea kimaadili ya kitanzania sio kizungu
Namtakia maisha mapya yenye fanaka na heri mwanetu.
Ehuuuu!!! Nimecheka sana asante kwa ushauri mkuu