Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

Chukua hii kama ifuatavyo;
1. Jitahidi uwe na hela kumzidi. Inawezekana sekta hiyo kakupiga bao. Au ana elimu kukuliko. Kwa elimu sio ishu. Ishu ni hela
2. Mchukulie poa. Usimchukulie serious sana. Ndivyo walivyo
3. Mkaze vizuri
4. Usipende kujibizana. Akiongea sana wewe fanya yako. Cheki tv, simu, kama kuna kazi ulikuwa unafanya, endelea nayo. Kisha akishabwabwaja weee, badili mada hapo hapo
4. Penda kumletea zawadi. Muwekee bando na muda wa maongezi, ila sio kama dozi.
5. Kelele zake zisikutoe kwenye mstari. Usihofie lawama zake kwamba ataondoka na blah blah zingine. Hapo ni kwake.
6. Ishi nae vizuri na kwa akili. Wanatunza vitu moyoni na ukianza kuzeekazeeka ndio karma inaanza kufanya kazi.
7. Wajali ndugu zake kwa hali na mali, na yeye ajue unawajali


Mengine yatakuja kwa ziada
 
Shida zote za nini hizo?
Si umwambie/kumfundisha unachotaka?
Ilitokea hataki muache tu?
 
Haya ni maisha gani, mpaka lini?
 
Mzalishe fasta fasta kama watoto wa4 hivi then atatulia.
 
Mpe dozi ya makofi Kidogo. Na uwe umechukia kwelikweli. Na unapompa dozi hiyo mwambie nilikuwa nakucheki tu na hizo tabia zako. Sasa endelea uone Cha mtemakuni, Leo nimekupapasa tu.
 
Kwamba unataka kumiliki mtu?? Unaweza kumiliki kila kitu hata simba na chui ILA SIO MTU!!!
 
Sifa ya uanaume ni Utawala, Its our nature. Ukikubali kutawaliwa unapoteza hiyo sifa makusudi iliyowekwa na Sir God.
 

Kitendo Cha kutokuwa na uwezo wa kumuacha, ndo kinampa kiburi. Hadi sasa anakuona wewe ni insecure man. Hakuna mwanamke anapenda mwanamme insecure.

Secure man anamuacha mwanamke yeyote mwenye red flag wakati wowote. Mwanamke akishatambua kwambe wewe ni secure, anakuheshimu na anakuwa na adabu.

Kamwe usije muonesha mwanamke kwamba huwezi muacha pindi akikuonesha red flag.

Mpe boundaries zako, akizivuka mteme.
 
Pole sana mkuu, Ulikosea sana Kumwambia kuwa wewe ndio nguzo,Mwanamke naye hapo anajua wewe unataka kumtawala kwa nguvu. Mara nyingi hapo ulitakiwa kukaa kimya na kwa sasa Usimwambie kitu kwa kumbembeleza Muachie jukumu au amua jambo mwambie kuanzia sasa nataka kitu fulani kifanyike hivi, kisha ondoka usitake maelezo naye na akizingua mkate kibao.

Akienda kinyume na maelekezo uliyoyatoa Vibao vitembee bila Huruma.

Na akikwkambia kama umenichoka sijui nini nini mwambie Ondoka.

Hawa watu hawatakiwi kabisa kubembelezwa wakishakuwa na Hofu tu atakuheshimu na mambo yatakuwa vizuri.

Wakati mwingine anakutawala labda ameona huna msimamo na hivyo unatakwa kuelekezwa
 
huyo manamke yupo kwenye jamii ya wanawake wanaoitwa NARSISTS ndo wameumbwa ivo,,,yaani anaweza kukufanyia bonge la balaa na akajua kabisa wewe hauna hatia,lakini bado akakomaa wewe ndo mwenye makosa na akakomaa wewe uombe radhi,ni wanawake hatari sana,na wanaume wengi wanaoishi na wanawake wa aina hii wasiposepa mapema ndo wanaopata KIHARUSI,PRESHA na VIFO vya GHAFLA,,,ok,,,wanawake wengi wako ivo,,,,cha kufanya mwonyeshe umuhimu wako,tafuta chumba alaf mwambie wazi unaondoka na ondoka kweli,,,kama na kama ana akili atajirekebisha na atakutafuta kukuomba samahani,,,ingawa jamii y awanawake wa aina hii hawajui kuomba msamaha kabisa,,,,"SEPA MWANANGU usije kufa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…