Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

This has worked with me.
Enh nina mwanaume mbabe jamani!
Yani nikichelewa ntiti, nikitoka bila kuaga balaa, nikiwa sijui nafanyaje ni amri
Ila akiwepo nyumbani mkimyaaa, anakufulia mpk sidiria.
Sasa zingua,uuuuuuuuwih!
Hata sielewagi saa ngapi anakuwa mtu mwingine kabisa
Af eti ndo nampenda ka fala, mxxxxxxiiiiie zangu!
❤️❤️
sasa wanawake ndiyo tunavutiwa na wanaume wa aina hiyo, ambao hawatabiriki, hujui sangapi anakudekeza sangapi anakuzingua, tuna fall in love ile ile, huyo mshikilie sana kwenye dunia ya sasa kupata wanaume wa hivyo ni wachache, yaani hawa ni wa kuwaombea hasa..!!

si umeona aina ya wanaume waliozagaa hata hapa JF..??
 
Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.

Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.

Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa

Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.

1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.

2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu

3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.

4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.

5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.

6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.

Nb.

Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.

SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.

"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"

ASANTEN:;-
Kaa kimya usimjibu,do the opposite Way!
 
❤️❤️
sasa wanawake ndiyo tunavutiwa na wanaume wa aina hiyo, ambao hawatabiriki, hujui sangapi anakudekeza sangapi anakuzingua, tuna fall in love ile ile, huyo mshikilie sana kwenye dunia ya sasa kupata wanaume wa hivyo ni wachache, yaani hawa ni wa kuwaombea hasa..!!

si umeona aina ya wanaume waliozagaa hata hapa JF..??
I agree with you!
Najiona navokuwa poyoyo hapa, nyau mimi mweh!
 
Teh teh anha nimewapata sasa. , sikiliziwni show na kw wenzenu
❤️❤️
sasa wanawake ndiyo tunavutiwa na wanaume wa aina hiyo, ambao hawatabiriki, hujui sangapi anakudekeza sangapi anakuzingua, tuna fall in love ile ile, huyo mshikilie sana kwenye dunia ya sasa kupata wanaume wa hivyo ni wachache, yaani hawa ni wa kuwaombea hasa..!!

si umeona aina ya wanaume waliozagaa hata hapa JF..??
 
❤️❤️
sasa wanawake ndiyo tunavutiwa na wanaume wa aina hiyo, ambao hawatabiriki, hujui sangapi anakudekeza sangapi anakuzingua, tuna fall in love ile ile, huyo mshikilie sana kwenye dunia ya sasa kupata wanaume wa hivyo ni wachache, yaani hawa ni wa kuwaombea hasa..!!

si umeona aina ya wanaume waliozagaa hata hapa JF..??
Waliozagaa 😀😀😀
Mbna sijawaona mahi naona wenye makasiriko tu 😀
 
😅😅
Ndiyo namaanisha waliozagaa humu ndani ni wa ajabu, yaani ya wehu yaweeehu, ukijichanganya mara moja hakikisha hurudii tena..!!😅
 
😂😂Wamechanganyikiwa balaa yaani ni hatari sana
Kuna vitu vipo humu hata mtaani hatujawah kutana navyo 😀
 
Unatawaliwaje na pussy ?
We ni dume kweli au tunaongeza na " one man down ?"
Acha ujinga kuwa uso mbuzi ,amri kwenda mbele ,asipotii na kuleta kiburi fumua makofi
 
Ndugu zangu wana Jf Salaam sana.

Ndugu zangu kweli mimi nilikua mkereketwa wa chama cha wanaokataa ndoa ila mwisho wa siku niliona huwezi kuwa rijali na ukakataa kuishi na mwanamke . Nilikusanya akili zangu na kuamua kuoa sasa leo hii nipo hapa kuomba ushauri wa namna nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonyesha kila dalili ya kutaka kumtawala mwanaume.

Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa

Sasa Kilichokuja kutokea ni baada ya kumuoa ndiyo ameanza kunionyesha mabadiliko mara kwa mara.

1: MKE WANGU, Amekua akinionyesha kwa maongezi na vitendo vyake kwamba ana kila dalili ya kutaka kunitawala mimi mume wake , hata kupitia mazungumzo yake na lawama zake unaona kabisa hapa anatak kunitawala.

2: MKE WANGU, Amekua akinitaka mimi mume wake nifate kila utaratibu wa maisha anaosema yeye jambo ambalo linaashiria kabisa anataka mimi mume wake nikae kwenye mfumo jike wake na siyo yeye kukaa kwenye taratibu zangu

3: MKE WANGU, amekua akiishi na mimi kama mtu mwenye machale machale mguu nje mguu ndani na mara nyingi tukipishana kauli amekua akiniambia kama simtaki au nimemchoka ni mwambie aondoke.

4: MKE WANGU, amekua akiongea kauli ambazo zinakua na amri amri ndani yake mfano, nataka , naenda, nipe, niletee, kama hutaki niambie au fanya.

5: MKE WANGU , amekua akijifanya yeye ni mweye misimamo mikali hata kama haina maana yeyote ile, aking'ang'ania jambo ameling'ang'ania hasa.

6: Mbali na yote hayo hata akiongea ujinga , akikosea au akinijia juu anataka mimi ndo nishuke nianze kumbembeleza na kumwelekeza kwa upole. na siyo yeye kushuka kama ilivyo desturi ya mwanamke awe mnyenyekevu na mtiifu kwa mumewe.

Nb.

Ndugu zangu mimi kwa upande wangu kaa mwanaume kuhusu majukumu mengine kweli mke wangu anajitahidi ila kuhusu hayo hapo juu nimeweka msimamo kwamba sipoteyari kwa namna yeyote ile kukubaliana na mambo yake na kila mara na mwambia mwanaume ndiye nguzo, msimamizi na kiongozi wa mwanamke.

SASA NIPO HAPA NAOMBENI NAMNA NZURI YA KUISHI NA MKE WANGU MWENYE KILA DALILI YA KUTAKA KUNITAWALA NA KUTAKA MIMI NDIYE NIWE NA MSIKILIZA YEYE NA MWENYE KUJISHUSHA KWAKE MAANA MIMI SIPO TEYARI KABISA KUKUBALIANA NA MAMBO YAKE.

"" MSINISHAURI NI ACHANE NAE MAANA KWA STYLE HII NIMESHA WAACHA WENGI SANA"

ASANTEN:;-
Hiki kilio ni cha wengi, hata mimi nayapitia hayo. Uzuri humu JF kuna wadau wana uzoefu sana. Wamenisaidia sana kupitia uzi nilioshusha kuomba ushauri kama wewe. Pembua yanayokufaa kisha ruka nayo

Nimeanza kuchukua hatua na kujitengenezea amani yangu bila ya huyu kiumbe
 
Unatawaliwaje na pussy ?
We ni dume kweli au tunaongeza na " one man down ?"
Acha ujinga kuwa uso mbuzi ,amri kwenda mbele ,asipotii na kuleta kiburi fumua makofi
Sio rahisi hivo ndugu, lakini pia wanawake hawafanani... Sio wote ni wadhaifu hivyo sema tu hujakutana na mwanamke tough kukuzidi wewe
 
Hii case ni kubwa, sio kama unavyotaka kurahisisha

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu ya abandonment issues.

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu ya msimamo wa mwanaume kuyumbishwa

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu hapakuwa na baba home au baba alikuwa dhaifu, lack of father/ male figure

Mwanamke anaweza kuact dominant sababu mwanaume kuwa na tabia za kitoto, huwajibiki

Sasa anatakiwa ajue mwanamke wake anampigia kwenye angle ipi kabla ya kutatua tatizo

lakini utatuzi wa haya yote ni kuongeza msimamo, kuongeza umakini, take charge yani wajibika, acha tabia za kitoto usimchukulie mke km mamaako, anza kujiongoza then umuongoze
imagine unaachaje kumcontrol mtu hata hajui wajibu wake, bill za maji hajawahi lipa, chakula ananunua akijisikia, ada analipa robo napo mpaka umesemaa, kujenga sasa hawazi kabisa hela zake ni za ndugu zake na michepuko ebo
 
kwani kusema hapa utaratibu ni A,B,C kama huwezi nenda mnashindwa nini
Dhaifu sana
 
Mbona mi natawaliwa na nimekubali yaishe..
Hata watanzania wanatawaliwa na bi Samia na mambo yako poa tu
 
Back
Top Bottom