Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

Achunguze circle ya mke wake, hawa ndio wana modify tabia za mke. Kama ni ma femist imeisha hiyo
 
Yaani taabu zote hizi kwaajili ya nini? Kwa faida gani? Linda moyo wako....
Ni afadhali ujiunge na kataa ndoa maana hoja wanayo wasikilizwe.
 
Nimezingatia sentesi yako ya mwisho meaning unataka bado kuhumilia ndoa yako mwayego.
Basi unahitaji Ubandidu kidogo.
Wanawake sisi kuna namna hatupendi watu tunaowamudu.

Kuwa tu jambazi jambazi flan usiyeeleweka flan akasimulie wenzie huko kwenye magrupu ya ushauri atume inbox za hadumini hide my name. Bila hivyo wala hatusikiagi nakwambia

Mbinu ziko nyingi, ila fanya haya kwa siku 90 mfululizo ikiwezekana 180 yani miezi mitatu au sita)
asipobadilika njoo niandikie thread.

1. Usibishane nae , we Sema kitu af kaa kimya , atabishana na yeye mwenywe kichwani

2. Mpotezee, akipendeza piga kimya, akipika vizuri ignore anayofanya kwa ajili yako. Usicompliment.

3. Usitabirike, asijue ratiba zako wala jibu lako kwenye kitu fulani.

4. Punguza kumwambia unachopanga kufanya, au usimwambie kabisa.

5. Usitumie hela yake kwenye chochote, provide mpk kiberiti humo ndani.

6. Usiongozane naye kweye safari anazopanga yeye, bali unazopanga wewe, mwambie jiandae kesho tunaenda sehemu fulani. Akikataa mweke kwenye gari nenda nae af njia nzima kimya.

7. Acha kumuuliza her opinions kuhusu kitu/jambo fulani.

8. Mkaze vizuri af kibabe babe tu, hamna kumuuliza tarehe zake wala sijui style wala nn we mradi kimewaka chapa ilale, hakuna maandalizi wala nini we chapa kwelikweli .(chapa kama umenunua yani)

9. Usishinde nyumbani sijui kuangalia tv sijui kucheza game sijui tamthiliya.

10. Acha kwenda kwao, mkataze kwenda pia, asiposikia mtikise mara moja moja.

11. Acha mara moja moja kula chakula alichoandaa, rudi nyumbani ukiwa umeshiba.

12. Siku nyingine rudi na t-shirt wala haijui uliyonunua dukani sio uliyovaa asubuhi , akiuliza mwambie ''tunapangiana na nguo za kuvaa sasa naona? af inuka nenda zako sebuleni kuangalia taarifa habari za CNN, au Fox News.

BAADA YA HIZYO MIEZI SITA HATA WEWE UTAKUWA UMEBADILIKA.
yeye ndo kabisa!
MTAKAA SAWA!
 
Samaki mkunje akingali mbichi, ukijichanganya ukaingia kwenye mfumo wake utapata shida sana kujitoa, weka msimamo kama akiwa mgumu muonyeshe mlango wa kutokea. Hiyo kauli yake kuwa kama vipi aondoke huyo tayari ana plan b sasa ni bora uanze wewe kumuonyesha mlango wa kutokea kuliko yeye akitoka na kukuacha solemba utaumia sana.
 
🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 Last paragraph dahh!!! Kmmk 🤣
 
Ulivyokuwa unaambiwa KATAA NDOA ulikuwa unadhani ni masikhara !!?

Ona sasa umemlipia mtu mahari ili Aje akunyime furaha 🤣 yaani pesa zako mwenyewe zina kutesa kmmk
 
Vijana wa KATAA NDOA hapa watakupopoa vibaya mno man up brother. Prioritize vitu vinavyoleta furaha na amani ya moyo wako huyo sio mamaako mzazi.
 
Mungu akuinue Sana. Katika watu walioweza kuonesha Hali halisi ya Ndoa za kisasa wewe ni namba Moja. Umetoa Picha Halisi as if Umeiweka Kwenye Drama kumbe kutanabai nikakumbuka nasoma maandishi.🤭😝

Nikirudi Kwenye nada hii. Kuna Jimbo la Kanisa kkkt majuzi Dar walikuwa na kama outing Hoteli ya white sands au Kukutana Kwa wale wanandoa za kuanzia mwaka Mmoja mpk kumi.
Lengo ni Kuona namba ya kuzinusuru kwani walikuwa na cases na talaka nyingi.

Binafsi Nina Ndoa mbili za watoto wa baba mkubwa na mdogo zilizofungwa harusi miaka kadhaa nyuma zimevunjika.
 
This has worked with me.
Enh nina mwanaume mbabe jamani!
Yani nikichelewa ntiti, nikitoka bila kuaga balaa, nikiwa sijui nafanyaje ni amri
Ila akiwepo nyumbani mkimyaaa, anakufulia mpk sidiria.
Sasa zingua,uuuuuuuuwih!
Hata sielewagi saa ngapi anakuwa mtu mwingine kabisa
Af eti ndo nampenda ka fala, mxxxxxxiiiiie zangu!
 
Aah nina girlfriend Mpare huyo anatoa amri kama Brigadier. Nilikuwa sizingatii kabila mpaka rafiki yangu aliponiambia ni Mpare, kaja ofisini kwangu siku ya kwanza tu anafokea kila mtu
Hahaha......wengine ni Tone of speech tu kutokana na malezi au Mother Tongue.. .lakini hawamanishi hivyo
 
You are very correct....ukiwa Dhaifu tu utashangaa Mke anaaanz akugongwa nje na hata kama una hela na mali hatojali.
 
Wanawake wanajua unyenyekevu unalipa. Sasa sijui inakuwaje wanabadilika.
Alipotaka kuolewa alijua umuhimu wa kuwa mnyenyekevu sasa amegeuka kuwa zabibu mwitu.


Mimi nimeoa ila kipindi cha uchumba mke wangu alikua ananisikiliza sana na alikua nikimuongoza anafata kwa usahihi yale yote niliyokua na mwelekeza na alinionyesha tabia njema mpaka nikavutiwa kumuoa
Ot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…