Ni ipi njia nzuri ya kuishi na mwanamke anayeonesha dalili zakutaka kumtawala mwanaume wake?

❀️❀️
sasa wanawake ndiyo tunavutiwa na wanaume wa aina hiyo, ambao hawatabiriki, hujui sangapi anakudekeza sangapi anakuzingua, tuna fall in love ile ile, huyo mshikilie sana kwenye dunia ya sasa kupata wanaume wa hivyo ni wachache, yaani hawa ni wa kuwaombea hasa..!!

si umeona aina ya wanaume waliozagaa hata hapa JF..??
 
Kaa kimya usimjibu,do the opposite Way!
 
I agree with you!
Najiona navokuwa poyoyo hapa, nyau mimi mweh!
 
Teh teh anha nimewapata sasa. , sikiliziwni show na kw wenzenu
 
Waliozagaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mbna sijawaona mahi naona wenye makasiriko tu πŸ˜€
 
Waliozagaa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Mbna sijawaona mahi naona wenye makasiriko tu πŸ˜€
πŸ˜…πŸ˜…
Ndiyo namaanisha waliozagaa humu ndani ni wa ajabu, yaani ya wehu yaweeehu, ukijichanganya mara moja hakikisha hurudii tena..!!πŸ˜…
 
πŸ˜…πŸ˜…
Ndiyo namaanisha waliozagaa humu ndani ni wa ajabu, yaani ya wehu yaweeehu, ukijichanganya mara moja hakikisha hurudii tena..!!πŸ˜…
πŸ˜‚πŸ˜‚Wamechanganyikiwa balaa yaani ni hatari sana
Kuna vitu vipo humu hata mtaani hatujawah kutana navyo πŸ˜€
 
Unatawaliwaje na pussy ?
We ni dume kweli au tunaongeza na " one man down ?"
Acha ujinga kuwa uso mbuzi ,amri kwenda mbele ,asipotii na kuleta kiburi fumua makofi
 
Hiki kilio ni cha wengi, hata mimi nayapitia hayo. Uzuri humu JF kuna wadau wana uzoefu sana. Wamenisaidia sana kupitia uzi nilioshusha kuomba ushauri kama wewe. Pembua yanayokufaa kisha ruka nayo

Nimeanza kuchukua hatua na kujitengenezea amani yangu bila ya huyu kiumbe
 
Unatawaliwaje na pussy ?
We ni dume kweli au tunaongeza na " one man down ?"
Acha ujinga kuwa uso mbuzi ,amri kwenda mbele ,asipotii na kuleta kiburi fumua makofi
Sio rahisi hivo ndugu, lakini pia wanawake hawafanani... Sio wote ni wadhaifu hivyo sema tu hujakutana na mwanamke tough kukuzidi wewe
 
imagine unaachaje kumcontrol mtu hata hajui wajibu wake, bill za maji hajawahi lipa, chakula ananunua akijisikia, ada analipa robo napo mpaka umesemaa, kujenga sasa hawazi kabisa hela zake ni za ndugu zake na michepuko ebo
 
kwani kusema hapa utaratibu ni A,B,C kama huwezi nenda mnashindwa nini
Dhaifu sana
 
Mbona mi natawaliwa na nimekubali yaishe..
Hata watanzania wanatawaliwa na bi Samia na mambo yako poa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…