Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

Ningekupa wazo bora kabisa la biashara ya viatu au nguo kama ungependa.......
Kwa huo mtaji unaanza na bidhaa chache za jumla na unachukua frame center....
 
Nimeishi Kibaha na sasa nipo Mwanza, Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara, Kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha. Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu, kwa huku maeneo mazuri ya kuishi Ilemela ila kibiashara Nyamagana kupo poa sana. Over
 
Nimeishi kibaha na sasa nipo Mwanza ,Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara ,kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha ,Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu,kwa uku maeneo mazuri ya kuishi ilemela ila kibihashara nyamagana kupo poa sana.over
Ushauri mzuri sana mkuu
 
Back
Top Bottom