Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

Ni ipi sehemu nzuri ya kuanzia maisha kati ya Kibaha mjini na Mwanza kwa mtaji wa milioni 10

Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.

Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Kibaha unafanya nini ? Uwe makini nacwapare wameushika mji balaa ukienda hovyo umeliwaa
 
Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.

Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Ungeenda huku ,makazi tuu yanaonesha watu Wana pesa

View: https://youtu.be/JcdCMwbSWuQ?si=sT6HEdfP0wDYf0bB

Pia waweza soma mada hii hapa China na ukachagua sehemu inayokufaa miongoni mwa Wilaya na Miji hii Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania
 
Nimeishi Kibaha na sasa nipo Mwanza, Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara, Kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha. Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu, kwa huku maeneo mazuri ya kuishi Ilemela ila kibiashara Nyamagana kupo poa sana. Over
Ningekuwa mimi ningeenda Mwanza.
Endeleeni kudnganya mwenzenu.Nenda Wilaya au miji Zenye mzunguko wa hela ila Hazina competition ,chagua hapa Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania
 
Utafeli nipo hapa......hiyooo nunua bajaji ingia road panga chumba mambo ya kununua kiwanja achaaaaaaaaaaaaaaa muraaaaa
Kuingia na bajaji barabarani kunataka aina flani ya ukauzu na kujikataa bila kusikiliza maneno ya watu.
Kinachokwamisha wasomi wetu ni kuona aina fulani ya kazi ni kwa ajili ya waaliofeli tu, mfano hiyo ya bajaji
Hii ni thread ya tatu ndani ya wiki, ya mtu ana mitaji wa 10+ millions halafu hajui cha kuifanyia,
 
Wasom kutajirika ngumu sana
 
Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.

Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Lazima kuna wazo unalo kichwani,

Anza na kulitest n'a mtaji usiozidi laki 5

Binafsi niko Kibaha mwaka wa 8 naendesha biashara ya Vipodozi nikifaidika na faida 3

1. Kibaha kuwa karibu na Dar ,soko la watu milioni 6

2. Kibaha kuunganishwa mwendokasi hadi Dar

3. Uwepo wa Internet mkonga wa taifa kwa bei nafuu ( elf 55 kwa mwezi) unafanya utafutaji wateja kwa internet kuwa rahisi
 
Usinunue kiwanja sasahv kwasababu hela itakaa bila kuzunguka.

Mimi ningekua ni wewe tungeenda zetu kwanza tabata
 
Anza biashara hapo hapo ulipo, ikikomaa ihamishie kibaha na mwanza
 
Back
Top Bottom