navigator msomi
Senior Member
- May 8, 2018
- 188
- 224
Kote sijawahi ishi ila natamani kukaa maeneo hayo, sitaki iwe mjini wala sitaki iwe mbali na mji sanaUlishawahi ishi mwanza au kibaha
Nenda Mpanda mjini... utanikumbukaKichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee
Ushauri mzuri sana mkuuNimeishi kibaha na sasa nipo Mwanza ,Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara ,kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha ,Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu,kwa uku maeneo mazuri ya kuishi ilemela ila kibihashara nyamagana kupo poa sana.over
Kwahio 10M haitoshi kuanzisha Biashara? Ni kiasi gani akianzisha haitaisha?10m ukaanzishe biashara iyo pesa itaishia kwenye Kodi ya frem na TRA
Wachache watakuelewaNenda Mpanda mjini... utanikumbuka
Biashara ya nguo na viatu aisee pasua kichwaNingekupa wazo bora kabisa la biashara ya viatu au nguo kama ungependa.......
Kwa huo mtaji unaanza na bidhaa chache za jumla na unachukua frame center....
Tangu mwaka juzi napanga kwenda lkn kuna kitu kinanirudisha nyuma alaf sikijui. Ebu mwaga madini tujue kuna nn huko mpanda!!!Wachache watakuelewa
Mpanda usiende,utakuja juta.Tangu mwaka juzi napanga kwenda lkn kuna kitu kinanirudisha nyuma alaf sikijui. Ebu mwaga madini tujue kuna nn huko mpanda!!!