Kibaha unafanya nini ? Uwe makini nacwapare wameushika mji balaa ukienda hovyo umeliwaaKichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Soma hapa 👇Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Yamekua hayo tena 😔!Mpanda usiende,utakuja juta.
Ungeenda huku ,makazi tuu yanaonesha watu Wana pesaKichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Nimeishi Kibaha na sasa nipo Mwanza, Mwanza ni mji mzuri sana kibihashara, Kibaha kaka hakuna ishu mzunguko mdogo wa kifedha. Mwanza ni sehemu nzuri kimaisha kila kitu utakipata kwa unafuu, kwa huku maeneo mazuri ya kuishi Ilemela ila kibiashara Nyamagana kupo poa sana. Over
Endeleeni kudnganya mwenzenu.Nenda Wilaya au miji Zenye mzunguko wa hela ila Hazina competition ,chagua hapa Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara TanzaniaNingekuwa mimi ningeenda Mwanza.
Kuingia na bajaji barabarani kunataka aina flani ya ukauzu na kujikataa bila kusikiliza maneno ya watu.Utafeli nipo hapa......hiyooo nunua bajaji ingia road panga chumba mambo ya kununua kiwanja achaaaaaaaaaaaaaaa muraaaaa
Wasom kutajirika ngumu sanaKuingia na bajaji barabarani kunataka aina flani ya ukauzu na kujikataa bila kusikiliza maneno ya watu.
Kinachokwamisha wasomi wetu ni kuona aina fulani ya kazi ni kwa ajili ya waaliofeli tu, mfano hiyo ya bajaji
Hii ni thread ya tatu ndani ya wiki, ya mtu ana mitaji wa 10+ millions halafu hajui cha kuifanyia,
Lazima kuna wazo unalo kichwani,Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda.
Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
Mkoa wa pwani kwa sasa nadhan ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote nchini, halafu pwani ina advantage ya kuwa karibu na Dar.Endeleeni kudnganya mwenzenu.Nenda Wilaya au miji Zenye mzunguko wa hela ila Hazina competition ,chagua hapa Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania
Mpanda mjini fursa zipi zipo tusaidie kutufungua machoNenda Mpanda mjini... utanikumbuka
Wapare na wagwenoKibaha unafanya nini ? Uwe makini nacwapare wameushika mji balaa ukienda hovyo umeliwaa
kwani kasema anatafuta kazi za viwandani?Mkoa wa pwani kwa sasa nadhan ndio mkoa wenye viwanda vingi kuliko mikoa yote nchini, halafu pwani ina advantage ya kuwa karibu na Dar.