Kidumu chama tawala....Burigi Chato....[emoji124][emoji124][emoji124]
😁Mkuu,sipendi kuwa mnafiki...😂
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind,na kustaajabu malimwengu;je ktk yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita!?tangu vivutio vilivyopo hap a nnchini km Serengeti, Kilimanjaro,ngorongoro...masai Mara nnchini Kenya,piramid za misri,mnara wa Paris, Ibiza, Miami Beach, carnival festival kule Brazil...wp you wish to be there!??
Sent using Jamii Forums mobile app
1. Panaitwa el Giza , pembeni kdg ya Cairo ,umenikumbusha pyramids1 Pyramid,Egypt
2 Aruba island
3 Thailand
4 Paris,France
5 Dubai
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Inaitwa manta resort ,nakutakia kila kheri ndoto itimie[emoji28][emoji28][emoji28] Kuna ile hotel ile pale Zenji tu uner ground unalala huku unazungukwa na midolphon.
Unalala katikati ya maji ya bahari na misamaki.
Mie kwa kweli ndoto yangu kuwa na shemeji yenu huko siku 2 au 3.
mama wawili
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind, na kustaajabu malimwengu; je katika yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita? Tangu vivutio vilivyopo hap a nnchini km Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Masai Mara nnchini Kenya, Pyramid za Misri, mnara wa Paris, Ibiza, Miami Beach, carnival festival kule Brazil.
Wapi you wish to be?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku ukinywa HeinekenNetherlands 'Uholanzi'
Huko kwa kweli nikiamka nikilala naota tu Uholanzi!