Ni ipi sehemu yako bora ya utalii duniani?

Ni ipi sehemu yako bora ya utalii duniani?

kovidii

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
277
Reaction score
266
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind, na kustaajabu malimwengu; je katika yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita? Tangu vivutio vilivyopo hap a nnchini km Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Masai Mara nnchini Kenya, Pyramid za Misri, mnara wa Paris, Ibiza, Miami Beach, carnival festival kule Brazil.

Wapi you wish to be?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maldives indiana ocean
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind,na kustaajabu malimwengu;je ktk yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita!?tangu vivutio vilivyopo hap a nnchini km Serengeti, Kilimanjaro,ngorongoro...masai Mara nnchini Kenya,piramid za misri,mnara wa Paris, Ibiza, Miami Beach, carnival festival kule Brazil...wp you wish to be there!??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Kuna ile hotel ile pale Zenji tu uner ground unalala huku unazungukwa na midolphin.
Unalala katikati ya maji ya bahari na misamaki.

Mie kwa kweli ndoto yangu kuwa na shemeji yenu huko siku 2 au 3.

mama wawili
 
[emoji28][emoji28][emoji28] Kuna ile hotel ile pale Zenji tu uner ground unalala huku unazungukwa na midolphon.
Unalala katikati ya maji ya bahari na misamaki.
Mie kwa kweli ndoto yangu kuwa na shemeji yenu huko siku 2 au 3.

mama wawili
Inaitwa manta resort ,nakutakia kila kheri ndoto itimie
 
Mbuga kubwa za Tanzania zote, Water Front Cape Town na Hong Kong water front haya maeneo huwa napenda kutarudia mara kwa mara.
 
Gate of hell
Tumekwishaelezwa kuhusu maeneo mbalimbali ya utalii ya kwenda ku-refresh mind, na kustaajabu malimwengu; je katika yote ni wapi unatamani uende kabla mungu hajakuita? Tangu vivutio vilivyopo hap a nnchini km Serengeti, Kilimanjaro, Ngorongoro, Masai Mara nnchini Kenya, Pyramid za Misri, mnara wa Paris, Ibiza, Miami Beach, carnival festival kule Brazil.

Wapi you wish to be?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Netherlands 'Uholanzi'
Huko kwa kweli nikiamka nikilala naota tu Uholanzi!
 
Back
Top Bottom