Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?

Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
 
Hivi Azam kawahi kutoka nje ya Top 4 ?
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
 
Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba mbili isipokuwa Yanga, Why ?

Mwaka 1989 Simba ilitaka kushuka Daraja... Yanga ilikubali kufungwa na Simba mchezo wa mwisho ili kuwanusuru watani wenzao wasishuke daraja na kombe wakaaliacha liende kwa Coastal Union
Mkuu ebu Jaribu kurejea msimu 2017/2018
Kisha uje tuweke sawa rekodi
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Simba na Yanga ni kama ndugu hao, ni kweli upande moja wa shilingi ni maaadui lakini upande mwengine ni ndugu, kaka na mdogo wake wanaweza wakawa wancharuana lalkini ije kutokea moja wao yupo matatizoni ni kawaida asaidiwe na mwenzake.
 
Mkuu ebu Jaribu kurejea msimu 2017/2018
Kisha uje tuweke sawa rekodi
Shukran kwa masahisho, Mwaka huo Yanga mbovu ya kina Kindoki na Yikpe ilishika nafasi ya tatu (3).. Ntarekebisha kichwa
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Inawezekana mwaka 1988 ulikuwa hujazaliwa. Halafu pia jaribu kuachana na hii tabia isiyokuwa ya kistaarbu.

Wewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
 
Ndio ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kushika nafasi ya tatu
Kwa hiyo umesema uongo kuwa " Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba tatu isipokuwa Yanga,"
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....

Kwa miaka ile iliwezekana sio miaka hii
 
Masahisho: Nafasi ya TATU, Yanga iliwahi kushika nafasi ya tatu 2017/18

Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba tatu isipokuwa Yanga, Why ?

Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
 
Endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenu
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Una miaka mingapi ya kuzaliwa? Ya kushabikia hiyo simba yako je?
 
Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
Na kile kipindi ambacho kinaitwa cha bakuli ambapo hata kulipa wachezaji mishahara ilikuwa shida napo walikuwa wanafanya hivyo?
 
Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?

Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
zipo sababu kadhaa,zifuatazo ni baadhi:
1.uongozi mzuri unaowasimamia vyema wachezaji na makocha
2.makocha wazuri
3.wachezaji wanaoipambania timu yao
 
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Watoto wa 2000s hamuwezi kujua hili
 
Back
Top Bottom