Mkuu ebu Jaribu kurejea msimu 2017/2018Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba mbili isipokuwa Yanga, Why ?
Mwaka 1989 Simba ilitaka kushuka Daraja... Yanga ilikubali kufungwa na Simba mchezo wa mwisho ili kuwanusuru watani wenzao wasishuke daraja na kombe wakaaliacha liende kwa Coastal Union
Simba na Yanga ni kama ndugu hao, ni kweli upande moja wa shilingi ni maaadui lakini upande mwengine ni ndugu, kaka na mdogo wake wanaweza wakawa wancharuana lalkini ije kutokea moja wao yupo matatizoni ni kawaida asaidiwe na mwenzake.acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Shukran kwa masahisho, Mwaka huo Yanga mbovu ya kina Kindoki na Yikpe ilishika nafasi ya tatu (3).. Ntarekebisha kichwaMkuu ebu Jaribu kurejea msimu 2017/2018
Kisha uje tuweke sawa rekodi
Inawezekana mwaka 1988 ulikuwa hujazaliwa. Halafu pia jaribu kuachana na hii tabia isiyokuwa ya kistaarbu.acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Kwa hiyo umesema uongo kuwa " Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba tatu isipokuwa Yanga,"Ndio ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho kushika nafasi ya tatu
acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Peleka timu yako iwe mfanoWewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tuMasahisho: Nafasi ya TATU, Yanga iliwahi kushika nafasi ya tatu 2017/18
Timu zote isipokuwa Yanga tu zimewahi kushika nafasi nje ya namba tatu isipokuwa Yanga, Why ?
Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
Hafi saiv PSV kapoteza game Moja tu kaangalie Ligi.Wewe umeona wapi timu misimu mitatu yote imefungwa mechi tatu tu, hiyo ligi au ujinga
Soma kwa kuelewa kilichoandikwa kabla haujajibu watuHafi saiv PSV kapoteza game Moja tu kaangalie Ligi.
Usiongee vitu hujui au ulizia watu wakubet wanajua Ligi
Endeleeni hivyo hivyo na ujinga wenuKwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
Una miaka mingapi ya kuzaliwa? Ya kushabikia hiyo simba yako je?acha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....
Na kile kipindi ambacho kinaitwa cha bakuli ambapo hata kulipa wachezaji mishahara ilikuwa shida napo walikuwa wanafanya hivyo?Kwa sababu timu nyingine ziko real zinacheza mpira.Hao unaosema hawajawahi kushika nafasi zaidi ya 3 ni wafanya maigizo miaka yote.Ndio maana wanaongoza kwa ubingwa lakini club bingwa Afrika ndio unawasikia mwaka huu tu
zipo sababu kadhaa,zifuatazo ni baadhi:Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ?
Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi ingepoteza mvuto na bila derby mapato yangepungua.
Watoto wa 2000s hamuwezi kujua hiliacha uongo wapi na wapi watani waachiane ushindi kwa ajili ya et kuokoana.... hata kijiweni nimekubishia ukaamua uyalete huku.... kumbe wewe ndo uncle bright mwongo mwongo....