mkuu ushauri wako ni muhimu kuliko ulichoandikaMambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Aachie wanaume wenye uume wamsaidie kazimkuu ushauri wako ni muhimu kuliko ulichoandika
It is really disgusting. Really men can't be insecured at all since we know how to make women feel happiness inside their heart.Wanaume wanaogopa papuchi siku hizi😂😂😂
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.
Sijawahi kukuona ukiwa mkali hivi leo kulikoni? Ila nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa