barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,404
- 29,811
Amruhusu atoke nje...Natumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.
Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Hamjui tu vile wanawake tunadharau wanaume aina ya mtoa mada na rafiki yake,, Kuna kavideo flani wacha nikatafuteSijawahi kukuona ukiwa mkali hivi leo kulikoni? Ila nimecheka sana [emoji23][emoji23][emoji23]
Noeloa kama sio wewe vile! Salaleh!!Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Hata kama wana hela?Hamjui tu vile wanawake tunadharau wanaume aina ya mtoa mada na rafiki yake,, Kuna kavideo flani wacha nikatafute
Akiwa nazo tunadharau kimoyo moyo, unaparamia madildo tu akiwa hana ndo mama weeeeeeee,,Hata kama wana hela?
Kaweke kavideo tuone [emoji16][emoji16][emoji16]
Na suluhu Ni kuja mtandaoni kwa machozi na kamasi kuwa mkeo anapenda sana nanilihiiii,, au ni kutafuta stamina uweze kummudu,,, ukishindwa mruhusu atafute mtu atakaemtoshelezaWanajamvi msimponde Sana mtoa post ipo sampuli ya wanawake wa namna hio unapiga show Safi ya goli nyingi na anaridhika ila kesho Tena anahitaji hivyohivyo kifupi Kila siku yeye anahitaji ukishindana nae kazi hifanyi na afya pia itazorota
Aisee. Leo nimejifunza kitu. Mjini shule....Akiwa nazo tunadharau kimoyo moyo, unaparamia madildo tu akiwa hana ndo mama weeeeeeee,,
Daaah wewe si mtu mzuri...ampige kitu cha wese la taa.Mwambie amfunge spidi gavana mke wake.
Kwa maelezo zaidi aulizie mbinu za kimedani zinazotumika shule za bweni za wasichana pekee za kuwatuliza munkari.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanaume wanaogopa papuchi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.
Mambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
Aisee. Leo nimejifunza kitu. Mjini shule....
Hahahahaha full kujianika tu,, mi huwa natamani nitemee mtu mate kabisa yani Ni kuchafuana tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazidi tu kuwa mafurushi.
Halafu hawa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa kujimwambafy sasa[emoji134][emoji134] utakuta wanataka kutembea na mtaa mzima.