Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

Wewe itakua ndie mke wa huyo rafiki wa mleta mada .
 
Wanaume wanaogopa papuchi siku hizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unakuta zoba kama huyo anapiga debe mtandaoni kuoa wake wawili.

[emoji23][emoji23][emoji23] nawaangaliaga tu nasema hiii
 
Lakin wabadilishe mazingira pia zio kila siku kufanyia nyumbani tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanazidi tu kuwa mafurushi.

Halafu hawa wenye upungufu wa nguvu za kiume kwa kujimwambafy sasa[emoji134][emoji134] utakuta wanataka kutembea na mtaa mzima.

Kuna mwanaume akifanya kimoja tu hawezi kuendelea utasikia sijisikii poa or demu haridhishi kumbe anajifariji nguvu hakunaa
 
Wanaume walishangaisha ,wanaume wa wanakula chips Mayai daily,nduvu zitoka wapi!?mbao moja hoi hajiwezi
Kama utashindwa kuridhika kwa hilo moja shida iko kwaki na iko siku kumi itakua haikutoshi
 
Hiyo picha kwenye Avatar imefanana 100% na Hilo Jina. Kuna wakati sura inafanana na jina kabisa sijui kwanini. Yani ukiambiwa huyu anaitwa grace anafanania haswa na jina Hilo ila ukianza kufikiria vipi huyu Grace angeitwa Michelle unaona sura inagoma kabisa kufanana na Hilo Jina.
Samahani lakini, umenivutia sana
 
Sema kweli!!! Asante Kitundu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu atakuwa ndo mume wa Hornet Nini? Maana naye amelalamika Sana tangu 2017 kusumbuliwa na kutoridhika pamoja na muwasho wa Mara kwa mara
 
Shida inaanza kwenu kwa sababu munawahi kuanza kufanya mapenzi na wanaume wengi kiasi inapotokea inakulazimu kuwa na mume mmoja ndipo shida huanzia
Huna nguvu huna tu braza, hata upewe bikira huna huna tu,,usitake kubadili uelekeo wa mada,,

Hata hivyo kutom..... Ushindwe hata kujitetea tu,, mnakuwaga na midomo sana nyie midebwedo/wachafuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…