Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

MShawishi rafiki yako afungue kwanza account humu ili hata kama kuna maswali ataulizwa aweze kujibu ndipo tujue namna ya kumsaidia,ila hivi hivi bado ngumu.
Kuja kumsema mtu mzima haitosaidia sana
 
1. ANAMAPEPO AU DAMU INACHEMKA
2.ANAKUWA AKIMWONA MUMEWE NDIO ANAHAMU YA TENDO MWENZIO ANAPENDWA HADI MKE ANAPATA SHIDA .
3.KUTATUA TATIZO NIKUMWOMBA AMWAMBIE KUWA ANATESEKA KWA KUWA NAYE KIMAPENZI KILA SIKU NA SIKU AKIMLAZIMISHA ATAMKOSA MUME
 
Kwa hayo matango, ndizi na midoli mnayotumia unafikiri mtaridhika na hizo bao 2. Mfano ni ww niliye kuquote najiuliza hilo **** lako lina hali gani baada ya matumizi ya hayo mavitu . Je utaridhika kwa bao moja au 2 au zaidi ya hapo???
 
Huna nguvu huna tu braza, hata upewe bikira huna huna tu,,usitake kubadili uelekeo wa mada,,

Hata hivyo kutom..... Ushindwe hata kujitetea tu,, mnakuwaga na midomo sana nyie midebwedo/wachafuaji

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika dunia hakuna maradhi yasio na tiba. Hakuna tatizo lisilo tatulika best. Wewe kama mwanamke unawajibu kumsaidia mwenzi wako kufika viwango utakavyo na si kumnanga.
Aibu inakua yako na mateso pia yanakua yako.
 
Ana uhakika huyo Mwanamke hajawahi kusagana au kutumia dildo?

Au jamaa naye ana tatizo.
 
Mi naweza kuona tabu anayoipata Wala sio kwamba Hana nguvu ukitaka kuamini hembu muulize akiwa kwa mchepuko Hali inakuwaje?

Mimi huwa inanitokea mwanamke akiwa ananihitaji kuliko ninavyomuhitaji kwa kweli huwa namkinai na kumuona kero haraka Sana.
Nimezoea Mimi ndio namsumbua mwanamke, Sasa ikitokea mwanamke ndo ananisumbua nakata Moto Sana kwakweli.

Yani unakuta mwanamke anakukuta unafanya labda kazi zako kwenye computer ghafla anakwambia anataka game hapo akili yako yote ipo kwenye kazi, kuigeuza ghafla kuanza kufikiria Ngono ili usimamishe inakuwa mtihani haswa.

Lakini nikimsumbua Mimi lazima anikimbie kwa kweli
 
Kwa hayo matango, ndizi na midoli mnayotumia unafikiri mtaridhika na hizo bao 2. Mfano ni ww niliye kuquote najiuliza hilo **** lako lina hali gani baada ya matumizi ya hayo mavitu . Je utaridhika kwa bao moja au 2 au zaidi ya hapo???
Kosa pesa pata nguvu, pole sana kwa hali uliyonayo
 
Katika dunia hakuna maradhi yasio na tiba. Hakuna tatizo lisilo tatulika best. Wewe kama mwanamke unawajibu kumsaidia mwenzi wako kufika viwango utakavyo na si kumnanga.
Aibu inakua yako na mateso pia yanakua yako.
Hahahahaha kwamba tuwasaidie sio,, yani unaomba kwa mkeo akusaidie kuongeza nguvu Sasa wewe huo uanaume uitwe wewe au mkeo? Aisee hii aibu ya karne
 

Aje inbox nimsaidie mbinu ya shoo za kibabe bila haja ya artificial supplements
 
Aje inbox nimsaidie mbinu ya shoo za kibabe bila haja ya artificial supplements
Safi quote ya kiume sasa hii, unajiamini hadi raha hebu wasitiri wenzio maana Ni aibu kwa mikopo waliyonayo,,, midebwedo fc mtafuteni kaka yenu atawasaidia
 
Hahahahaha kwamba tuwasaidie sio,, yani unaomba kwa mkeo akusaidie kuongeza nguvu Sasa wewe huo uanaume uitwe wewe au mkeo? Aisee hii aibu ya karne
Ungeuliza kwa namna gani kabla ya kukejeli.
 
Safi quote ya kiume sasa hii, unajiamini hadi raha hebu wasitiri wenzio maana Ni aibu kwa mikopo waliyonayo,,, midebwedo fc mtafuteni kaka yenu atawasaidia
Mtafute wewe maana wewe ndio unashida sana lau usinge simamia hivi hii mada
 
Wanawake wengine... Hata kama angekuwa anaweza raundi 7 hatakiwi kusafiri bila mkewe. Siku akisafiri lazima kipelekwe kwa jirani. Huyo siyo mwanamke. Ni jini mtu ndani ya nyumba. Asante Mungu kwa kunipa mwanamke mwenye kujielewa na kunielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…