Ni ipi suluhu ya Mwanamke asiyeridhika?

inawezekana chief. ile chomeka chomoa chomeka chomoa inaweza istoshe kumfikisha mwanamke. ila kwa "come hither motion" ni guarantee asilimia [emoji817]
Hujawahi experience unachomeka tu mwanamke anakojoa?
 
Awe anakula kitimoto choma na maji mengi sana.. ikiwezekana 8 litres per Day.. hakika mke wake atamkimbia
 
Wanajamvi msimponde Sana mtoa post ipo sampuli ya wanawake wa namna hio unapiga show Safi ya goli nyingi na anaridhika ila kesho Tena anahitaji hivyohivyo kifupi Kila siku yeye anahitaji ukishindana nae kazi hifanyi na afya pia itazorota
Kweli kabisa

Baba Ako
 

Ooh sawa labada kuna sehemu sikueleweka kidogo.
Nadhani hapa.
"Mara chache naweza rudia ya pili lkn kwa ku m pleas mwenzangu.
Nishushe masalia."

Nilimaanisha mm ndio hua nam muomba nimalizie kushusha masalia(bao la pili) japo hatuendi muda mrefu lkn mm shauku yangu nakua natamani nimalize la pili.
Mm nina muomba yy, sio yy ananiomba mm.
Hii ni mara chache sio siku zote mkuu nilimaanisha hivyo mkuu.
Karibu
 
Hapo umeeleweka vyema Mkuu maana hawa viumbe ukiona anakwambia haumridhizishi basi ujue anafanya comparison na mwingine,kama hajawai kufanya hayo mambo na akakutana na mwanamme wa 1minute ataona ni kawaida ila kasheshe akija kukutana na kina Mandingo hapo ndio matatizo yanapoanza maana atafanya comparison ya 1m na Mandingo ndio ataona kwamba 1m man anamchezesha MAKIDAMAKIDA huku Mandingo MPERAMPERA MWENDO WA NGIRI.
 
Visingizio tu mnatia aibu sana wanaume wa siku hizi
 
Nani aliyewaambia kuwa mwanamke akikojoa hawezi kuendelea na mchezo?
 
Wanaume wakileo dhaifu sana....
Nilipoona notification yako nikajikuta Nina hamu kweli ya kujua Nini umenijibu,, Sasa wewe mtu mwenye busara zako umesema hivyo Mimi Nani nipinge,, wasaidie wadogo zako maana ni aibu
 
Nilipoona notification yako nikajikuta Nina hamu kweli ya kujua Nini umenijibu,, Sasa wewe mtu mwenye busara zako umesema hivyo Mimi Nani nipinge,, wasaidie wadogo zako maana ni aibu
@Noelia wajua haya maisha na makuzi ukichanganya na kutosikiliza wakubwa na ulimbukeni vinachangia sana kuharibu vijana...
Tujitahidi tu
 
Zaman walikua wanaolewa mabikra siku mitumba iliyosokwa vilivyo midada mingine imesokotwa mpk nawatumia madawa hvyo mikei inatepeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…