Huyu alikuwa anamuektia, ila ya sasa ndo sura halisiNatumai hamjambo wakuu
Rafiki yangu anapitia wakati mgumu sana katika ndoa yake hivo anataka ushauri wakumfaa.
Anadai alipokua katika mahusiano mkewe aliridhika kingono kwa game 2 pekee na alipomtaka kurudia aligoma kabisa but tangu wamekua katika ndoa mkewe anataka game 3+ na asipotimiziwa ndani kunazuka ugomvi mkubwa.
Amejaribu kumweleza kua siku hazilingani kuna muda mtu unakua moodless but mke haelewi kitu. Sasa anajiona kama sex machine kwa mkewe na ameichoka hali hiyo anahitaji ushauri utakaompa suluhu
Unaishia kumtizama huku ukifedheheka sana, unabaki kujipiga kifua na kujiona goi goi huishi kulalama na kunyong'onyea kabisa....pale mke anapogeuka dada yako
Sasa kinachofanya mhangaike na mitara ni nini?😂😂😂😂Yani mnachukulia poa sana ile ni nyama tu mpaka ikaze disa ihimili masaa kadha si jambo jepesi hasa kwa maisha ya sasa
Una uwezo wa kuwaridhisha? Au unaoa tuu umfungie huko ndani?Kwani kuna ubaya kuoa wake wawili ?
Una uwezo wa kuwaridhisha? Au unaoa tuu umfungie huko ndani?
Hili ndio tatizo.
Kuna nguvu ya ziada huibuka kwenye chupi mpya baada ya hapo tunarudi ya kawaida.Sasa kinachofanya mhangaike na mitara ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtakuja kufaaaa
Sawa msemaji wa mdebwedo fcHapana k zenu zimesokotwaa sana zimekua sugu.wanaume wengi ambao hawaoi wanatumia midawa anakufumua wew mpk two hrs ukiolewa lazima ulalamike
Hahaha pumbavu sanaMambo yamebadilika siku hizi, zamani wanawake ndo waliwakimbia wanaume kingono lakini nyakati hizi wanaume ndo wanakimbia huku wakitoa na machozi mfano Ni rafiki wa mtoa mada,,,, kwa huu upumbavu wa aina yako mtoa mada na rafikiyo hata 50 kwa 50 haiwafai labda 20 kwa 80, shenzi kabisa
AiseeMwambie amfunge spidi gavana mke wake.
Kwa maelezo zaidi aulizie mbinu za kimedani zinazotumika shule za bweni za wasichana pekee za kuwatuliza munkari.
Haha akikupa usisite kunipa na Mimi pia ... Mimi nimjumbe katika dawati linalohusu na utatuzi wa masuala ya ndoa .. So nadhani ushauri wangu unahitajika kabisaPole sana mkuu nipe namb yake nimkanye
Hahahahaha mnatakiwa mchapwe bakoraHahaha pumbavu sana
Hata Mimi nilitaka kutoa ushauri huu ,bora amle ndogo tu ,manake inaonekana mbele kushakuwa sugumwambie amle 0714
Haha Mimi kwenye kundi la mtoa mada sipoHahahahaha mnatakiwa mchapwe bakora
Sawa kwako pia msemaji wa k mtumba tena kutoka africa....ss imagine mtumba wa afrika hata usugue vip unajichoshaSawa msemaji wa mdebwedo fc
One hour and the lady is still toleratingNi ngumu sana kushauri upande mmoja.
Inawezekana zamani aliridhika raund 2 kwa sabb mume alikuwa anapiga show za ukweli.
Sasa zimepungua level.
Mfano gari itembee speed 80 kwa 200km
Alafu sasa itembee speed 40 kwa zilizile 200km
Ni wazi kua safari itakuwa ni ya uchovu na inayo bore.
So mwanaume inawezekana anapiga mbili lkn sio kama zamani.
Hapo ajitahidi afike tatu ili mwanamke asijetoka nje..la sivyo afanye bidii kurudi kwenye viwango vyake vya zamani.
Mwanamke kama anakunika fresh hutaskia malalamiko.
Binafsi napiga round moja tu na wife.
Round huchukua saa zima na dakika chache nipo kifuani,mpka kufikia mshindo wa kwanza.
Sijawahi daiwa round nyingine wala malalamiko.
Tukimalimiza wote tunagalagala huko..
Mara chache naweza rudia ya pili lkn kwa ku m pleas mwenzangu.
Nishushe masalia.
So mwambie mshikaji akumbuke ni wapi alipojikwaa aanzie hapo kurudi ktk viwango.
Bila hivyo itamgharimu kuvunjika wa uaminifu ktk ndoa.
Fanya kuja chimboHaha Mimi kwenye kundi la mtoa mada sipo
Nipo kwenye kundi la wale wanasababisha maji muite mma.. Au ukimaliza round upatwe na uchovu kama mbeba cargo wa k.koo
Unafikiri utanitia jazba kwa hizi shombo zako, fyaaaaaaSawa kwako pia msemaji wa k mtumba tena kutoka africa....ss imagine mtumba wa afrika hata usugue vip unajichosha