Ni ipi tiba ya meno zaidi ya kung'oa?

rajab177

Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
12
Reaction score
1
Habar za kutwa wana JF

Wadau mwenzenu nasumbuliwa na meno, nimeshapata kung'oa mawili(2) na bado mengi matatu(3) yananisumbua ambapo mawili ni ya chini moja la juu

Plz wadau sihitaji kuendelea kung'oa maana sitabakiwa na kitu.

KUNA ANAYEFAHAMU TIBA YA HILI?
 
kuna dawa ya meno inaitwa Dr. TS Toothpaste ni nzuri sana. ijaribu utanipa matokeo. 0657317631
 
Kama uko Dar nenda Kariakoo pale bar ya DDC opposite na mlango wa kuingiria kuna mtu ana uza dawa ana tangaza tuna uza dawa ya meno amini utapona.
 
Pole mkuu, Mi nimeshatoa matatu, na jana nilienda kucheki pia Kuna jino linasumbua
 
Nenda Dodoma kuna hospitali ya wazungu wanakushauri na kufanyia kazi meno yako mpaka utafurahi
 
Daaa meno ni balaa lingine. Pole sana ndugu. Nadhani ukitumia ushauri mbalimbali hapa unaweza kuokota kitu chenye maana
 
Dawa ya meno ya kwanza ni kupiga mswaki kabla ya kulala ili kuondoa mabaki ya chakula ambayo pia ni chakula cha bacteria was mdomoni wanao secrete acidi inayoharibu meno..usiku unapolala kila kitu kinapumzika hivyo bacteria wanajivinjari mdomoni bila bugza...pili nenda hospitali wakuchunguze angalau kila baada ya miezi sita...yapo meno ya kuziba tu kama yemetoboka au hata yaliyotoboka wanaweza kuyafanyia root canal..yakaendelea kutumika...dawa ya nyumbani ya kupoza ni karafuu isage na kuweka kwa jino...dawa za asili zinaponyesha ila baadhi zinasaga meno baada ya muda meno yatapukitika utabaki na visiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…