Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna dawa ya meno inaitwa Dr. TS Toothpaste ni nzuri sana. ijaribu utanipa matokeo. 0657317631Habar za kutwa wana JF
Wadau mwenzenu nasumbuliwa na meno, nimeshapata kung'oa mawili(2) na bado mengi matatu(3) yananisumbua ambapo mawili ni ya chini moja la juu
Plz wadau sihitaji kuendelea kung'oa maana sitabakiwa na kitu.
KUNA ANAYEFAHAMU TIBA YA HILI?