LwandaMagere
JF-Expert Member
- Mar 15, 2020
- 264
- 2,484
HAKUNA KIINGILIO na KIINGILIO NI BURE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tofauti yake kwenye "HAKUNA KIINGILIO" hiyo kiingilio imekaa mwisho na "KIINGILIO NI BURE"hiyo kiingilio imekaa mwanzo....."HAKUNA KIINGILIO" na "KIINGILIO NI BURE:
KT ambapo ndan yake kuna (t) kitenzi kishirikishi ambacho ni t na pi kuna nomino ambayo ni bureUtofauti upo kwenye maumbo ila kwenye maana hakuna utofauti maana ni sawa ila maumbo ni tofauti...
Mkuu Taifa linakutegemea hasa wasanii wetu wa Bongo fuleva [emoji28][emoji28]Utofauti upo kwenye maumbo ila kwenye maana hakuna utofauti maana ni sawa ila maumbo ni tofauti.
HAKUNA KINGILIO imeundwaa na Kikundi nomino (KN).
KINGILIO NI BURE imeundwa na Kikundi Nomino+Kikundi Tenzi (KT).
Mambo ya lugha hayo karibu kitivo cha isimu na lugha hapa Lumumba street tukuhudumie haaa haa.
Mambo ya lugha hayo mzee
Neno "hakuna kiingilio" ndio kiswahili sanifuHAKUNA KIINGILIO na KIINGILIO NI BURE
Nimecheka kwa sautiUtofauti upo kwenye maumbo ila kwenye maana hakuna utofauti maana ni sawa ila maumbo ni tofauti.
HAKUNA KINGILIO imeundwaa na Kikundi nomino (KN).
KINGILIO NI BURE imeundwa na Kikundi Nomino+Kikundi Tenzi (KT).
Mambo ya lugha hayo karibu kitivo cha isimu na lugha hapa Lumumba street tukuhudumie haaa haa.
Mambo ya lugha hayo mzee