Ni sawa na StarTimes ya Dish na Star Times ya Antenna zote hizo zinamilikiwa na kampuni moja, Tofauti ni jina tu na baadhi ya channels kutokuonekana kwenye kimoja wapo kati ya hivyo. Multichoice wameamua Gotv iwe bei chee kwenye vifurushi kulinganisha na Dstv sema tu kuna channels hutaziona ambazo zipo dstv, ila tegemea kuona locals kama zote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.