Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

Ni ishara gani ukiziona kwa mwenza wako unajua leo napewa tunda au sipewi?

Mpuretamu

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,458
Reaction score
2,480
Habari wadau wa JF?
Niende moja kwa moja kwenye mada.

Maisha ya mahusiano yamejaa visa na burudani za vya kufurahisha na kustaajabisha. Kuna wakati wapendanao hufurahiana sana ila kuna nyakati za kuumizana na kukasirikiana.

Mambo haya kwa namna moja ama nyingine huathiri maisha ya kingono kati ya wawili hawa.
Kunaishara mbalimbali ambazo wapendanao hutoa kuonyesha kudhiria au kutokuwa tayari kushiriki tendo la ngono.

Je kwako, ni matendo gani ukiyaona unajua leo natusua au leo sili tunda?
Hebu tushee pamoja hapa ili tusije tukaleta ubakaji wakati pengine ni wanandoa.

Muwe na Pasaka njema.
 
Back
Top Bottom