Wakuu,
Ni Japi yupi ambaye hukumu zake unapenda sana kuzisoma?
Haijalishi,awe ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Rufaa!
Mie binafsi nazikubali hukumu za Samata J,.!
Ana good command of English language na huwa sikosi lakujifunza kwake!
Na mwisho nazikubali za Jaji Lubuva pia!
Wewe je?
wekeni tuzione ile ya babu seya kwa mfano kaiandika nani?
Jaji mmoja Kisutu??Kuna judge mmoja yuko kisutu pale mzinguaji sana
Umeona eehKalegeya ana ngeli ya kutishaaaaaa