Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo labda mwenye extended jurisdiction.Jaji mmoja Kisutu??
Malcom Lumumba mkuu,kwanini Samatha?
Sidhani kama kastaafu kwa umri, labda kwa sababu nyingine..Hahaaa. Ni kweli. anapangilia kiingereza chake vizuri hadi unavutiwa kuendelea kusoma hukumu yake. Amekaa sana pale Commercial Division kabla ya kuwa promoted kwenda mahakama ya rufaa. Kule aliamua kustaafu kwa hiari kabla ya mda wake kufika baada ya kuona junior judge kapewa ujaji mkuu na kuwaacha wakongwe wakitazamana tu. Almanusra majaji wote wa rufaa waachie ngazi, bahati nzuri diplomasia ilifanya kazi yake, majaji wengine wakakubali kubaki, Dr. Bwana akakimbilia mahakama ya kimataifa, jamaa kalegeya kaamua kustaafu kwa hiari. Hatakagi mambo ya mchezomchezo.
Mwingine kwenye mambo ya lugha ni P. A. Rugazia. Huyu jamaa anapamba kiingereza hadi raha. ana vi terminology vyake hivyo ukiiona tu hukumu utajua huyu ni Mwamba Mwenyewe Rugazia, Mzee wa misimamo - haogopi mabosi zake. Jamaa kasota sana mahakama kuu ingawaje alikuwa ni kichwa, hakubahatika kuwa promoted kwenda mahakama ya rufaa. Wengi wanasema ni sababu ya kiburi na majigambo yake. Kastaafu hivi karibuni (mwaka jana kama sikosei).
Majaji kwa sasa wanafika mia mojaHv mpaka sasa hapa nchini tuna jumla ya majaji wa ngapi? ?
Kisutu JAJI tena jamani du!...kisutu ni RMC hakuna judgeKuna judge mmoja yuko kisutu pale mzinguaji sana