Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo damuni.
Watibeli ni mwiko kuharibu wanawake waliowaaminifu. Wanawake Safi hatuwezi kuwachafua. Wanawake wenye kujiheshimu hatuwezi kuwadhalilisha. Sisi tunawa- treat watu vile walivyo na hiyo ndio HAKI.
Mwanamke anayejiheshimu tutamheshimu.
Mwanamke mchafu tutamchafua na kumtumia kwa matumizi machafu.
Vyombo vya kulia hatuwezi kuviweka chooni. Na vyombo vya chooni hatuwezi kuviweka meza ya kulia chakula.
Kijana wangu, epuka kuharibu maisha ya Mwanamke mwaminifu,msafi na anayejiheshimu.
Usimtumie kingono mwanamke Mwaminifu. Wapo Makahaba kwa shughuli hizo. Ni Jambo Baya kumfanyia Uhuni mwanamke Mwaminifu na Mwema.
Watu wote wenye Akili, watu Wema, wenye kupenda HAKI, wenye heshima hawawezi kuwaharibu wanawake waaminifu na waliowema.
SIFA ZA MWANAMKE MWAMINIFU NA MWEMA
1. Anakupenda wewe ulivyo pasipo kuangalia pesa.
Ikitokea Mungu akakupatia bahati ya kukutana na mwanamke WA Aina hiyo kwenye maisha yako. Mwanamke anayekupenda kwa Moyo wake wote Bila kuangalia mali zako. Anayekupenda licha ya umaskini au Madhaifu yako. Huyo kwako ni mwanamke mwema, mwaminifu na hakika usije ukamlipa vibaya.
Na bahati nzuri mwanamke anayekupenda vile ulivyo utamjua tangu siku ya Kwanza Kabisa ambayo mmekutana. Upendo wa kweli hautengenezwi.
2. Mwanamke Msafi.
Hapa tunazungumzia Msafi wa Tabia, mwanamke ambaye hawezi kuwa na Mwanaume zaidi ya Mmoja. Mwanamke asiye Malaya.
Mwanamke yeyote Msafi huyo Usimharibu.
Usichafue vilivyo Safi.
Na usisafishe vilivyo vichafu. Hiyo sio Kazi yako.
3. Mwanamke mwenye uwezo wa kukupa Chochote ikiwemo Pesa.
Mwanamke yeyote ambaye anauwezo WA kukupa pesa yake licha ya Hali ngumu aliyonayo. Huyo kamwe usiumize moyo wake.
Mstahi, mheshimu, mpende na kamwe Usimharibu.
Mwanamke yeyote ambaye hawezi Kujitoa kwa Mali yake kwaajili yako huyo Usimhofie. Ni hiyari yako kumstahi au kumharibu.
Hata hivyo Sisi Watibeli kamwe hatuwezi kuishi hata masaa ishirini na nne na mwanamke wa aina hiyo.
Tukishagundua tunajua huyo ni jino bovu litasumbua tuu baadaye. Tunaling'oa.
Sisi jino bovu hatutoi mzizi Wala kuziba. Tunaling'oa tuu.
Hivyo ndivyo Watibeli tulivyo.
4. Mwanamke anayekusikiliza na kukutii wewe tuu kuliko Wazazi wake.
Haiwezekaniki mwanamke aache kuwasikiliza wazazi wake akusikilize wewe alafu wewe ufamnyie mambo ya kisengerema. Hilo ni Jambo Baya zaidi kwako kuliko kwake. Hiyo kwako ni Laana.
Lakini pia ni dalili ya kuwa wewe sio Mwanaume unayejitambua.
Huwezi kukiharibu kitu au mtu anayekutii na kukusikiliza kama kweli unaakili timamu.
Na huwezi ukakitunza kitu au kumtunza mtu asiyekusikiliza na kukutii. Mwanamke asiye kusikiliza huyo muweke kwenye lile kundi la walioharibika na unapaswa kuwatupa kwenye Jalala kwa matumizi ya takataka.
Kijana, Mimi Baba yako. Usisite kumharibu mwanamke yeyote ambaye atatanguliza pesa kuliko UTU.
Mwanamke yeyote ambaye hupenda pesa kuliko UTU huyo huna hatia yoyote kuyaharibu Maisha yake.
Kwa sababu maisha ya wapenda fedha kuliko UTU yalishaharibiwa hivyo Kazi yako ni kuharibu vilivyo haribiwa.
Nilikuambia Sisi Watibeli tunaharibu vilivyoharibika au kuharibiwa. Muda WA kuvitengeneza hatuna.
Kumbuka, kilichoharibiwa usipokiharibu kitakudhuru wewe mwenyewe.
Na hivyo ndivyo jinsi ya kuishi maisha mazuri na watu. Hasa katika mahusiano ya kimapenzi.
Ikitokea umeoa mwanamke lakini akajiharibu Mwenyewe au kaharibiwa. Usifikiri mara mbilimbili kumstahi. Ng'oa jino Hilo mapema zaidi kabla mambo hayajawa Mengi.
Kamwe EPUKA kuwa Daktari wa mwenza aliyeharibika au kuharibiwa. Sijui kaku-cheat wewe usifikiri mara mbili. Fukuza mapema Sana.
Maisha ni mafupi Sana. Upo kwaajili ya kuyatumia kuishi kwa furaha na sio kupoteza Muda kutibu maembe yaliyoharibika wakati kuna maembe mazuri Kabisa.
Nawatakia maandalizi Mema ya Sabato
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa sasa Dar es salaam