Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi.
Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia kuleta uzi huu hapa ili kama kuna mtu anafahamu chochote alichofanya Makala aweze kutushirikisha tusiwe tunahukumu.
Ningependa zaidi kusikia kutoka CCM. Lengo langu ni kutaka vyama vya siasa viige utaratibu wa Ulimwengu wa kwanza, mtu anapoteuliwa mjadala wa kwanza uelekezwa kwenye maeneo aliyefanikiwa na aliyefeli....kwetu mtu anafanya kazi 30 years bila kuwepo kwa chochote kwa public ambaye ni mwajiri kinachomshuhudia kwamba alifanya mabadiliko au alibuni.
Makala namwona akiondoka kwenye kiti alichokaliwa siyo kwa kuchukiwa na waliomteua bali kwa sababu hata waliomteua wanashindwa kuelewa anaeneza nini. Majibu yake kwenye mahojiano ya last week yanaonyesha ni vigumu kudumu hasa chadema wakirejea kutoka kwenye vikao vya siri huko Dar