pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Hakuna kitu chochote alichowahi kufanya au kubuniu zaidi ya kubebwa na "Msoga"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajawahi kabisa. Walioona watujuze. Nyota ya jaahNimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi.
Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia kuleta uzi huu hapa ili kama kuna mtu anafahamu chochote alichofanya Makala aweze kutushirikisha tusiwe tunahukumu.
Ningependa zaidi kusikia kutoka CCM. Lengo langu ni kutaka vyama vya siasa viige utaratibu wa Ulimwengu wa kwanza, mtu anapoteuliwa mjadala wa kwanza uelekezwa kwenye maeneo aliyefanikiwa na aliyefeli....kwetu mtu anafanya kazi 30 years bila kuwepo kwa chochote kwa public ambaye ni mwajiri kinachomshuhudia kwamba alifanya mabadiliko au alibuni.
Makala namwona akiondoka kwenye kiti alichokaliwa siyo kwa kuchukiwa na waliomteua bali kwa sababu hata waliomteua wanashindwa kuelewa anaeneza nini. Majibu yake kwenye mahojiano ya last week yanaonyesha ni vigumu kudumu hasa chadema wakirejea kutoka kwenye vikao vya siri huko Dar
Eti mutoto ya mujini,hopeless kabisa,waliotakiwa kuongozwa ndio wanaongoza,bora yesu arudi tu,tuachaneNimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi.
Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia kuleta uzi huu hapa ili kama kuna mtu anafahamu chochote alichofanya Makala aweze kutushirikisha tusiwe tunahukumu.
Ningependa zaidi kusikia kutoka CCM. Lengo langu ni kutaka vyama vya siasa viige utaratibu wa Ulimwengu wa kwanza, mtu anapoteuliwa mjadala wa kwanza uelekezwa kwenye maeneo aliyefanikiwa na aliyefeli....kwetu mtu anafanya kazi 30 years bila kuwepo kwa chochote kwa public ambaye ni mwajiri kinachomshuhudia kwamba alifanya mabadiliko au alibuni.
Makala namwona akiondoka kwenye kiti alichokaliwa siyo kwa kuchukiwa na waliomteua bali kwa sababu hata waliomteua wanashindwa kuelewa anaeneza nini. Majibu yake kwenye mahojiano ya last week yanaonyesha ni vigumu kudumu hasa chadema wakirejea kutoka kwenye vikao vya siri huko Dar
Aliwahi kuunda kundi la Friends of FM ACADEMIA, lililokuwa na maskani yake Kinondoni B, lilivuma sana! alishirikiana na Jack Pemba na Ndama Mutoto ya Ng'ombeNimemsikiliza mara kadhaa mzee Makala akiwa ndani ya CCM, utumishi wa umma na sasa ndani ya CCM tena. Kuna watu wana bahati ya kupewa madaraka lakini siyo bahati ya kufanikisha malengo ya uteuzi.
Kutokana na kukosekana kwa taarifa za jambo lolote aliloanzisha Makala likafanikiwa nimesijikia kuleta uzi huu hapa ili kama kuna mtu anafahamu chochote alichofanya Makala aweze kutushirikisha tusiwe tunahukumu.
Ningependa zaidi kusikia kutoka CCM. Lengo langu ni kutaka vyama vya siasa viige utaratibu wa Ulimwengu wa kwanza, mtu anapoteuliwa mjadala wa kwanza uelekezwa kwenye maeneo aliyefanikiwa na aliyefeli....kwetu mtu anafanya kazi 30 years bila kuwepo kwa chochote kwa public ambaye ni mwajiri kinachomshuhudia kwamba alifanya mabadiliko au alibuni.
Makala namwona akiondoka kwenye kiti alichokaliwa siyo kwa kuchukiwa na waliomteua bali kwa sababu hata waliomteua wanashindwa kuelewa anaeneza nini. Majibu yake kwenye mahojiano ya last week yanaonyesha ni vigumu kudumu hasa chadema wakirejea kutoka kwenye vikao vya siri huko Dar
Unabuni kwani umeambiwa wewe ni seremala au fundi cherehani? Wacha iwe nyepesi lakini siyo kutuwekea ule UPUMBAVU. Muone sasa amekwenda Arusha anawa promoti watu waliofeli Arusha eti Waduddu. Upumbavu mtupuKama hiyo ndio kazi ya karibu mwenezi basi hiyo ndio kazi rahisi zaidi kupata kutokea duniani.
Hubuni chochote unaandika taarifa unaenda kuisoma.
Nilidhani labda ni kuhakikisha chama kinaenezwa na kubuni namna Bora ya kupata wanachama zaidi.