Ni jambo gani Amos Makala amewahi kubuni, kutekeleza na likafanikiwa?

Hajawahi kabisa. Walioona watujuze. Nyota ya jaah
 
Eti mutoto ya mujini,hopeless kabisa,waliotakiwa kuongozwa ndio wanaongoza,bora yesu arudi tu,tuachane
 
Aliwahi kuunda kundi la Friends of FM ACADEMIA, lililokuwa na maskani yake Kinondoni B, lilivuma sana! alishirikiana na Jack Pemba na Ndama Mutoto ya Ng'ombe

Je hayo siyo mafanikio?
 
Kama hiyo ndio kazi ya karibu mwenezi basi hiyo ndio kazi rahisi zaidi kupata kutokea duniani.
Hubuni chochote unaandika taarifa unaenda kuisoma.
Nilidhani labda ni kuhakikisha chama kinaenezwa na kubuni namna Bora ya kupata wanachama zaidi.
Unabuni kwani umeambiwa wewe ni seremala au fundi cherehani? Wacha iwe nyepesi lakini siyo kutuwekea ule UPUMBAVU. Muone sasa amekwenda Arusha anawa promoti watu waliofeli Arusha eti Waduddu. Upumbavu mtupu
 
Haya mafanikio yote mliyotaja toka kusema ana tija ,mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…