Ni Jambo Gani Liliwahi Kukufedhehesha??

dah mi nakumbuka mama mwenye nyumba moja niliyokua naishi tulikua hatupatani coz alipenda tumheshimu c unajua mtaka vitu ukipata kitu kizuri umpe na yeye au ukiletewa sa mi nilikua nampotezea mbaya ,sa cjui aliongea na mwanae wanisingizie,ck ya cku ananiita eti mwanangu Y anasema ulimfuata chumbani akiwa amelala ,nlikasirika kinoma hapo nina mume wangu tena Hb wa kufa mtu halafu huyo mwanaeY ni mvuta Bangi halafu yuko rough nkamweleza hubby situation yote na yeye akaanza kuamini eti nilimtaka huyo Y nilijickia vibaya namshukuru Mungu nilisafiri na niliporudi tulikua tumehamia sehemu ingine
 
Mussolin
kaka kimsingi mie kupalamia miti kama nyani kumenitenda ka2 sitosahau. Siku nyngne niliangukia kiuno toka mtini nikapgwa bonge la USINGIZI utamu wake cjapata kuona a.k.a KUZIMIA hadi nilipoamshwa na wapita njia waliokua wanatoka church.

poleeee sana kaka'
 
Kuna siku nikiwa form 2 niliugua tumbo ghafla nikiwa shule,nikaomba ruhsa kwenda home kwa bahati mbaya nikiwa njiani nikashindwa kujizuia nikajiharishia nikiwa njiani,

aibu iliyoje njiani?? Daaaaaah pole
 

sista duu tena ulikomaje?? Hahhahahaa pole
 
Kishuzi katikati ya safari mko peke yako na dreva wako.....(Grrrrrrrrrrr) ilibidi nipige simu na kuongea toka ubungo hadi posta mfululizo kupotezea....(Grrrrrrrrrrrrr)

huhuhuhuhuhuhuhuhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…