snake
Member
- Mar 2, 2024
- 6
- 10
Naanza na mimi kuna wakati nilikua safari kutokea Same nikielekea Arusha nilipanda coaster na kupata siti ya nyuma kabisa na sababu yenyewe nikwamba tulikua wawili hivyo tulipendelea kukaa pamoja mbele yetu kulikua na siti ya watu 2 ambayo yadirishani mtu alikaa ikabakia hiyo ya mwanzo.
Mpaka mimi kuona ni maajabu ni kwamba kila mtu aliepanda hakutaka kuikalia mwanzoni nilichukulia nikawaida tu ila siti zilipojaa zote ispokua hiyo moja ndo nikawa najiuliza ni kwa nn mtu anaamua ni bora asimame kuliko kukaa pale ,
Tulisafiri katika hali hiyo kutokea Same mpka Boma ngombe ndo yule abiria aliekua kaa siti ya upande wa dirisha kushuka tu na watu wengine wakapanda na kukalia siti zote mbili bila shaka yoyote kiukweli sikupata jibu kabisa zaidi kubaki kustaajabu tu.