Ni jambo gani litatokea asubuhi Kanisani kwa Askofu Gwajima ?

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
4,042
Reaction score
6,854
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.

Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"

Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
 
Bado tupo eneo la tukio japo tumechezea kipigo hadi nikajikuta nasema Allah Akbar ndiyo mpiga rungu akasitisha ,ningelichelewa kidogo walikuwa wanipake wese pambafu hawa.

#Sa100 Must Go
Unafikiri hilo wese wangekupaks wapi mkulu!
 
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.

Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"

Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Kanisa lina kosa gani? Kama kakosea Gwajima angekamatwa Gwajima. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Duniani kote
 
Mkuu nini kinaendelea? naona kuna watu wanatweet yuko mikono salama, ni kwamba alifanikiwa kuwatoroka policcm?
Milio ya risasi za moto ilisikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya Morogoro

View: https://x.com/IAMartin_/status/1929665153961771429
 
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.

Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"

Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Chalamila?
 
Waumini wanapenda usingizi mkuu....walienda majumbani kulala wakalitelekeza kanisa la mungu 😂
 
Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.

Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"

Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Ukikamatwa ukasema Salam alleikhum unaachwa haraka
 
Back
Top Bottom