Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Unafikiri hilo wese wangekupaks wapi mkulu!Bado tupo eneo la tukio japo tumechezea kipigo hadi nikajikuta nasema Allah Akbar ndiyo mpiga rungu akasitisha ,ningelichelewa kidogo walikuwa wanipake wese pambafu hawa.
#Sa100 Must Go
Kwenye pua mkuuUnafikiri hilo wese wangekupaks wapi mkulu!
Gwajima alishasema yeye ni Muislam anaitwa RashidWakristo Tumeanza kushambuliwa
Aisee acha hiyo mara moja aliyoongea Gwaima sio udini kabisa mbona alisema na yule shekhe aliyeuwawa akatupwa bra barani Zenji nae ni mkristo?Wakristo Tumeanza kushambuliwa
Kumbe ukisema Allah Akbar hawakupigi...hatari sanaBado tupo eneo la tukio japo tumechezea kipigo hadi nikajikuta nasema Allah Akbar ndiyo mpiga rungu akasitisha ,ningelichelewa kidogo walikuwa wanipake wese pambafu hawa.
#Sa100 Must Go
Mkuu nini kinaendelea? naona kuna watu wanatweet yuko mikono salama, ni kwamba alifanikiwa kuwatoroka policcm?Nipo Kawe hapa
Kanisa lina kosa gani? Kama kakosea Gwajima angekamatwa Gwajima. Kanisa la Ufufuo na Uzima lipo Duniani koteMi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.
Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"
Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Milio ya risasi za moto ilisikika katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Ubungo, Dar es Salaam. Watu hao waliokwenda kumkamata Askofu Josephat Gwajima wamepambana kuvamia chumba chake lakini waumini wameendelea kuzuia asichukuliwe. Waumini hao wamekwenda kufunga barabara ya MorogoroMkuu nini kinaendelea? naona kuna watu wanatweet yuko mikono salama, ni kwamba alifanikiwa kuwatoroka policcm?
Chalamila?Mi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.
Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"
Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?
Ukikamatwa ukasema Salam alleikhum unaachwa harakaMi nadhani Askofu Gwajima atakubali anavyoambiwa. Atafunga Kanisa lake halafu atasubiri kukata rufaa.
Au atakamatwa na Polisi na wafuasi wake watapiga kelele,"Mnamuonea. Mnamuonea Askofu"
Au wengine labda wana mawazo tofauti. Watu wakizidi pale unadhani itabidi Chalamila aende kuongea na Askofu?