Ni jambo jema kuona hata wana CCM wamechangia Lissu apate gari, pia inatufanya tuwafahamu viongozi wenye roho mbaya na chuki

Kumbe unajua itikadi ya CCM ni utu na usawa?
Sasa kwa nini hutaki kukubali kuwa shida ya CCM ni viongozi wake walio jaa ubinafsi, ukatili na unyama?
Hivi kweli unamshambulia mtu risasi 16 mwilini asiye hatia wakati hata jambazi sugu na uaji huwa mnalipiga risasi moja tuu n kusema kafia njiani akipelekwa hospitali?kisha anachangiwa anunue gari lingine maana hili linawekwa makumbusho bado na hilo mnachukia!
Hii ccm ya sasa sio ile ya zamani yenye watu hii ina viumbe vyenye maumbile ya watu
 
akiwa amepona kabisa πŸ’

aliomba kuchangiwa na diaspora akachangiwa millions of dollars, akalipwa mishahara, marupurupu na fedha ya kujikimu na mishahara yote ya nyuma, mamilioni ya fedha.
hivi kweli hakujua atahitaji gari ya kufanyia kazi na majukumu yake later on πŸ’

huoni kwamba ni mazoea mabaya hayo, sijui ameiga Dodoma kwa majira zake 🀣

CCM ina jali utu na usawa kwa kila mwanadamu. Inasisitiza zaidi kujitegemea. Hi ya kuomba mara kwa mara hapana, sio malezi mema. Kazi na shughuli za kufanya ili kujiongezea kipato zipo nyingi, tukafanya kwa bidii bila kuchoka na Mungu atakubariki, Aimen πŸ’
 
Kuna jambo moja unajizima data au uwezo wako umefunikwa na roho chafu. Fuatilia utaona Lissu alisema anapeleka gari garage. Watu wakatoa hoja wanataka iwekwe makumbusho.
Maria Sarungi ndio kaja na wazo kuwa kwa nini nyie mtakao gari liende garage msimnunulie mbadal
Sasa wananchi wamepokea kwa furaha jambo hilo na wamesema wanamnunulia na kweli michango inatiririka, sasa hapo lawama kwa Chadema na Lissu zinatoka wapi kama sio roho ya ushetani tuu!
 
We baki na roho yako nyeusi huko vijijini walio jaa upendo wanampa mpaka zawadi ya kuku!
Hujifunzi hata hilo? Au una ka element ka uchawi?
 
kamanda tuliza mihemko kidogo bas, relax bas, mbona unaeleza vizuri tu lakini kinyume nyumeπŸ’

anyway,
muungwana ameomba achangiwe mamilioni anunue gari la kifahari gari nadhani ni muhimu zaidi pia kujipanga na kujiandaa kuombwa kuchangia mafuta. πŸ’

Lakini hiyo gari ni ya chama au binafsi ya kibaraka?
 
We baki na roho yako nyeusi huko vijijini walio jaa upendo wanampa mpaka zawadi ya kuku!
Hujifunzi hata hilo? Au una ka element ka uchawi?
View attachment 2995811
yaani unataka kusema roho nyeusi kama huyo kuku kamanda 🀣

hapo nimejifunza jinsi ya kupokea kuku mweusi kutoka kwa mwanainchi wa chini na kupiga picha kuonekana napendwaaa πŸ’
 
Tutamchangia lissu. Yeye ni alama ya upendo katika nchi

Huko tuenako tutaifumua hii nchi na kufuma upya kuleta uhuru haki na uwajbikajii
Lissu ni ngao ya Taifa, ni mfano bora wa binadamu wema duniani.
 
Unamuita Lissu kibaraka? Unahitaji tiba ya akili, sijui yule anayeuzia ngorongoro, bandari nk kwa wajombq zake utamuita nani!
 
Unamuita Lissu kibaraka? Unahitaji tiba ya akili, sijui yule anayeuzia ngorongoro, bandari nk kwa wajombq zake utamuita nani!
anyway kamanda hiyo ingine ni porojo achana nayo...

hiyo gari ni ya chama au ya kibinafsi ya muungwana? πŸ’

ili julikane mapema...
 
mkuu hata wanaowafanya wenzao misukule kwenye misiba ya hao misukule huwaga wanashiriki na wanaliaga sana,kumbe wamewaweka wenzao nyuma ya mlango...CCM ni WANAFIKI TU
 
Kama ni fedheha wewe na chama chako ndio mnatutia fedheha tena dunia nzima miaka 60 ya uhuru bado mnasaidiwq hata chanjo na 60% ya national budget inategemea bakuli la wazungu? Kuna fedheha kama hii? Kuna fedheha kama ya kujengewa matundu ya choo na watu wa USA? AU HUJUI MAANA YA FEDHEHA MKUU?
 
anyway kamanda hiyo ingine ni porojo achana nayo...

hiyo gari ni ya chama au ya kibinafsi ya muungwana? πŸ’

ili julikane mapema...
Hata ukijua itakusaidia nn? Kina mbowe walipofungwa kwa kesi ya kubumba ya akwilin tulichanga wakatoka na sasa tunachanga tena. Hatukatishwi tamaa na vizabizabina? Mbona mwenge tunachangia una faida gani ?
Binafsi siyo kibinafsi
 
Hata ukijua itakusaidia nn? Kina mbowe walipofungwa kwa kesi ya kubumba ya akwilin tulichanga wakatoka na sasa tunachanga tena. Hatukatishwi tamaa na vizabizabina? Mbona mwenge tunachangia una faida gani ?
Binafsi siyo kibinafsi
kumbe ni muda mrefu mmezoe kuombaomba sanaee
 
unaenda mabali sana kamanda, mazoe ya kuombaomba kwa watu wa chini sio vizuri.

Kwamini msimuombe Mungu tu awajalie bidii ya kazi mpate kipato cha kutosha mjitegemee?
 
Ni Hakika Lissu hawezi kuchangiwa na RC wa Chuga.
 
anyway kamanda hiyo ingine ni porojo achana nayo...

hiyo gari ni ya chama au ya kibinafsi ya muungwana? πŸ’

ili julikane mapema...
Swali la kijinga, gari lililoshambuliwa lilikuwa la Chama au Lissu binafsi?
Ukiona watu wanamchangia Lissu mwenyewe badala ya chama hata kama ubongo wako ni wa kuku ni dhahiri utajua kuwa ni gari yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…