Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kumbe unajua itikadi ya CCM ni utu na usawa?ndiyo maana tunasema ukata wa fedha na njaa sio jambo la kitoto kuanzia kwenye chama hadi maisha ya nje ya chama. Ni hatari, aibu, inatia huruma japo ni fedheha pia lakini hakuna namna ingine.....
vipi,
ulitoa hiyo account sasa, ili ndugu yetu Lisu asitiriwe kwa chochote na huyo muungwana wa CCCM, mzalendo na anae zingatia utu wa binadamu kama ambavyo itikadi ya CCM ilivyo, kwamba tunaamini binadamu wote ni sawa na ni lazima kuheshimu na kuthamini utu wa kila mtu , lakini pia kujitegemea![]()
Sasa kwa nini hutaki kukubali kuwa shida ya CCM ni viongozi wake walio jaa ubinafsi, ukatili na unyama?
Hivi kweli unamshambulia mtu risasi 16 mwilini asiye hatia wakati hata jambazi sugu na uaji huwa mnalipiga risasi moja tuu n kusema kafia njiani akipelekwa hospitali?kisha anachangiwa anunue gari lingine maana hili linawekwa makumbusho bado na hilo mnachukia!
Hii ccm ya sasa sio ile ya zamani yenye watu hii ina viumbe vyenye maumbile ya watu
