mdukuzi JF-Expert Member Joined Jan 4, 2014 Posts 20,925 Reaction score 51,688 Jan 9, 2025 #1 Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali. Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni mwema
Haters wa utawala wa hayati Nagufuli wakiongozwa na mimi hatuamini kuwa mpaka leo zile bombadier hakuna iliyopata ajali. Manunuzi yake yakionekana kujaa mihemko,tulitarajia misiba ila Mungu ni mwema
MamaSamia2025 JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 14,588 Reaction score 32,361 Jan 9, 2025 #2 Kwani zilinunuliwa mbovu? Au marubani walikuwa learners?
BigBro JF-Expert Member Joined Jan 9, 2010 Posts 3,585 Reaction score 11,601 Jan 9, 2025 #3 Waafrika kuendelea ni ndoto, maana kila kitu wao wanawaza Negatively...
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Jan 9, 2025 #4 Kwanini sasa uliwaza hivyo?? Kwani hakuna mainjinia wa kujua ndege hizo hapa TZ?