Ni jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?

UKIONA CHAMA KINATAWALA MIAKA 60 ALAFU MNASEMA VIONGOZI WAKE NI WAJINGA

MTU ANAYEKUTAWALA UJUE KAKUZIDI AKILI NA MBINU

N.B CONGO , NA SUDANI ZIMEFIKISHWA HAPO NA WAZUNGU

NA SISI Tuwe makini say no demonstration
 
Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.

Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Kuiba chaguzi
Kuteka
Kuua
Kubambika kesi
Kuweka watakosoaji kambi za siri za mateso na kuwatesa sana
Uchawa, uchimvi na uzandiki
 
TANZANIA inazidi kuchanganyikiwa baada ya Miezi miwili itakuwa imevua nguo kabisaa
FB_IMG_1766164360711.jpg
 
Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.

Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Tuna sgr mupyaa ya umeme, umeme bwerere wa stigler gorge, vyuo vikuu 36 vikaliii , na Kila nyumba ina maji safi ya bomba. Mungu atupe nini tena?
 
Wapumbavu tu ndio wanaropoka hivyo....tuonewe wivu tumekuwa machangudoa?!
 
Yule waziri kiazi anaetoa maboko alisema ni uranium!
vichekesho nchi ina vioja vituko na vimbwanga.
 
Hata kwenye orodha ya nchi kumi zenye akiba kubwa ya uranium duniani hatumo ndiyo tuonewe wivu kisa Uranium kwa nini?

Jee Kazhakstan yenye kuzalisha asilimia kubwa ya uranium yote duniani waseme nini Sasa?

Sisi hata tatu bora ya nchi zenye Uranium nyingi Afrika hatumo inakuwaje tuonewe wivu?
 
Mkuu unaniuliza mimi au yule waziri kiazi?
 
Hata kama tunaonewa wivu ndio tutekane?
 
Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.

Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Ccm ni matapeli. Bado nawaishi zama za vita baridi. Propaganda ndiyo wanachoweza. Wanadhani wananchi wa leo ni wale wa 1960-1980s.

Wananchi wa leo hawawezi kukubali propaganda zao za kitoto. Ndiyo maana wanawakataa wazi wazi
 
Back
Top Bottom