Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Labda wapo wanaojua...!!Sasa tuonewe wivu kwa kipi 🤣🤣 labda ujinga na nywele tu !
Kuiba chaguziHoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.
Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Tuna sgr mupyaa ya umeme, umeme bwerere wa stigler gorge, vyuo vikuu 36 vikaliii , na Kila nyumba ina maji safi ya bomba. Mungu atupe nini tena?Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.
Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Hizo ni propaganda za kihuni zinazosambazwa na Mwigulu na genge lakeNi jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
Aisee!!Hizo ni propaganda za kihuni zinazosambazwa na Mwigulu na genge lake
Hata kwenye orodha ya nchi kumi zenye akiba kubwa ya uranium duniani hatumo ndiyo tuonewe wivu kisa Uranium kwa nini?Yule waziri kiazi anaetoa maboko alisema ni uranium!
vichekesho nchi ina vioja vituko na vimbwanga.
Mkuu unaniuliza mimi au yule waziri kiazi?Hata kwenye orodha ya nchi kumi zenye akiba kubwa ya uranium duniani hatumo ndiyo tuonewe wivu kisa Uranium kwa nini?
Jee Kazhakstan yenye kuzalisha asilimia kubwa ya uranium yote duniani waseme nini Sasa?
Sisi hata tatu bora ya nchi zenye Uranium nyingi Afrika hatumo inakuwaje tuonewe wivu?
Ccm ni matapeli. Bado nawaishi zama za vita baridi. Propaganda ndiyo wanachoweza. Wanadhani wananchi wa leo ni wale wa 1960-1980s.Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe.
Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?