Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Nakumbuka hata UPC ya Uganda na KANU pale Kenya vilianza hivi hivi na mwisho wake leo vimebakia kwenye vitabu vya historiaKwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Kwenye Wodi ya Vichaa, mwendawazimu kapewa kuwa kiranja, hii ni hatari nyingine kubwa zaidi.Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
Hakika ukishaona mtu mwenye akili zake anajiita Chawa wa mama basi juwa kuwa huyo ni dustbinCCM ina watu wenye akili, lakini WAMEJITOA AKILI!... maana kigezo kikuu cha kupata hizi nafasi kwa serikali hii haramu...ni lazima ujifanye hamnazo...ili mkono uendelee kwenda kinywani
Tena hilo limeleta alama nyekundu ya hatari kweli kweli,zaidi ya oct 29 na baada,ila hatari hii naiona ni the next big massacre 10Γ the Rwandan 1994 massacre.Taifa liamke ishara ya hasira kuu na chuki inajengeka sio tu kwa utawala,hata baina ya vyama na baina ya tabaka la wala kwa urefu wa kamba na walalahoi walipa kodi.Tuache mzaha kama taifa tukubali kurekebisha pasipo sawa.Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Kuna tofauti kati ya kuwa na akili na jinsi akili hizo unavozitumia!!CCM ina watu wenye akili, lakini WAMEJITOA AKILI!...
Propaganda zao ni za kitoto sana ,watu walishazistukia ,wamekuja na porojo za mfanyabiashara kumpa pesa Heche bila kuweka statements ya hiyo miamala wakati wana access na Banks zote.Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Gentleman,Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.
Kitendo cha CCM kuishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kuaminiwa na watanzania wakati kikiwa kinaendesha Serikali na kusimamia vyombo vya dola, ni jambo la hatari sana kwa mustakbali wa nchi yetu.
CCM kuishiwa mbinu za kuongoza nchi yetu, ni sawa na chizi mwenye rungu kuwa karibu na kabati la kioo lililojaa vyombo vya udongo.
Tena hilo limeleta alama nyekundu ya hatari kweli kweli,zaidi ya oct 29 na baada,ila hatari hii naiona ni the next big massacre 10Γ the Rwandan 1994 massacre.Taifa liamke ishara ya hasira kuu na chuki inajengeka sio tu kwa utawala,hata baina ya vyama na baina ya tabaka la wala kwa urefu wa kamba na walalahoi walipa kodi.Tuache mzaha kama taifa tukubali kurekebisha pasipo sawa.
on sasa, anayedai ustawi wa Taifa anaitwa gaidi. just imagine!!!!!Kwa sasa inavoonekana CCM imeishiwa mbinu ya kukifanya chama hicho kikubalike kwa watanzania.