FrankLutazamba
JF-Expert Member
- Aug 9, 2018
- 448
- 409
Miti ya matunda: michungwa, milimao, mipera na mipapai.Mm nataka kupanda miti home. Ushauri wa miti gani mizuri kuweka nyumbani.
Kabisa tena jiji kama la Dodoma ningependekeza ipandwe mizabibu kandokando mwa barabara na katikati mwa mtengano wa barabara.Serikali yetu pendwa inaendelea kuotesha maelfu ya mbegu za miti kwa ajili ya kupandwa, pendekezo langu wangekuwa wanapanda miti ya matunda inayodumu na kuchanua kama mipera, machenza, michungwa na kadhalika hata katikati ya majiji katika barabara badala ya miti isiyo zalisha matunda. Ila katika mahali pa kupumzikia ndio ipandwe miti ya kivuli.