Ni jana tu walikuwa wakishangilia kuvamia Israel. Vilio vimeshaanza furaha imetoweka

Yaani sijui ndio nature ila inaumiza sana kuuana kama wanyama
 
Kale ka kaburi ketu pale freemason lodge vipi bado kana chaji,?
Kaburi lako wewe uniulize mimi?

Wayahudi wansema kama kupatikana basi safari hii wamepatikana na wameshaanza kumtaka netanyahu aondoke.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…