Ni JF Member gani ambaye hutamani Kufa kabla hujamuona au kumfahamu mubashara?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Rejeeni tu kicha cha habari kisha mtoe mchango wenu.

Kwa kuanzia tu mimi natamani hata kabla sijafa niwajue au nionane na hawa members watatu tu kwani nawakubali mno.

  1. Chachu Ombara
  2. Interest
  3. RUCCI
Asateni.
 
Hii mada inarudiwa rudiwa kila siku.

Mods bora waiunganishe au waifute kabisa.

Cc:Jamii Forums.

Cc😛aw.

Cc:active moderator.
 
Natamani kabla sijafa niwe nimetubu dhambi zangu zoooteee.

Hizi Id au members wa humu hawatakusaidia chochote kwenye ulimwengu wa wafu
Busara sana [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] !!!
 
Natamani kabla sijafa niwe nimetubu dhambi zangu zoooteee.

Hizi Id au members wa humu hawatakusaidia chochote kwenye ulimwengu wa wafu
Hilo ndio jbu, watu wanachukulia hii mitandao kama familia kumbe sio, wengne huku wanajidai wanawake kumbe wanaume

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Kweli kabisa mkuu
Hilo ndio jbu, watu wanachukulia hii mitandao kama familia kumbe sio, wengne huku wanajidai wanawake kumbe wanaume

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…