Ni JF Member gani ambaye hutamani Kufa kabla hujamuona au kumfahamu mubashara?

Ni JF Member gani ambaye hutamani Kufa kabla hujamuona au kumfahamu mubashara?

Aah wapi mi sioni aibu mbona wewe nilikufungukia tu kwamba nakuzimia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kimoja kibaya saana kwenye hizi sites... unazoeana na mtu na kutokana na mwandiko wake unamrank labda atakuwa mtu wa namna fulani.

Na akili inajijenga hivyo. Usiombe siku ukutane na taswira tofauti. Ndiyo unaanza kumpotezea taratibu.

I need psychologist on this.
 
Hivi kweli unanipenda? Ujue nilijua unanitania... niambie kama vipi ukikutana na miss chagga twende wote kabisa ukanitambulishe

Huo uke wenza sasa!!
Nikutanie nna utani na wamasai Mimi? ( teh sijui kweli we mmsai? Kwa miss chagga hapana aisee alishanipora mume wangu wa kwanza sirudii kosa[emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna kitu kimoja kibaya saana kwenye hizi sites... unazoeana na mtu na kutokana na mwandiko wake unamrank labda atakuwa mtu wa namna fulani.

Na akili inajijenga hivyo. Usiombe siku ukutane na taswira tofauti. Ndiyo unaanza kumpotezea taratibu.

I need psychologist on this.
Hahaha hujawahi kupenda kwa mwandiko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikutanie nna utani na wamasai Mimi? ( teh sijui kweli we mmsai? Kwa miss chagga hapana aisee alishanipora mume wangu wa kwanza sirudii kosa[emoji13] [emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah, mmasai na mashuka yangu. Basi nitaanza kukupenda kuanzia sasa hivi.

Teh wewe usikute lengo ukutane naye umrushie kipapa akafie marangu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata nyie sio wote wanakubali kuzungushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NAPENDA USINIKUBALI HARAKA. BASI ACHA NIANZE KUKUTONGOZA KAMA WEWE UMENISHINDWA.
Naskia haupendi mwandiko mkubwa.

Hicho ni kipimo [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom