Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Vipi mkubwa, ntabahatika?[emoji120] [emoji115]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Cheuci[emoji769]
[emoji120] [emoji115]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mama huyo si mwanamke mwenzio ukitaka kumwona si una mpm tu?
me ni wewe nataka
Unamaanisha mwanaume nikitaka kumuona siwezi kumpm? Mi sijambo nimekumisi wewe tu hapoSasa mama huyo si mwanamke mwenzio ukitaka kumwona si una mpm tu?
Haujambo lakini?
Tufanye tuonane mkemwenza unifundishe kutafuta pesame ni wewe nataka
Unaweza ila sio rahisi kama ke mwenzako..Namaanisha me utamwonea aibu....Unamaanisha mwanaume nikitaka kumuona siwezi kumpm? Mi sijambo nimekumisi wewe tu hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi mi sioni aibu mbona wewe nilikufungukia tu kwamba nakuzimiaUnaweza ila sio rahisi kama ke mwenzako..Namaanisha me utamwonea aibu....
Ila mwanamke mwenzio unaanza kumqoute "shoga niambie fungua pm nina ubuyu ".
Hivi kweli unanipenda? Ujue nilijua unanitania... niambie kama vipi ukikutana na miss chagga twende wote kabisa ukanitambulisheAah wapi mi sioni aibu mbona wewe nilikufungukia tu kwamba nakuzimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kimoja kibaya saana kwenye hizi sites... unazoeana na mtu na kutokana na mwandiko wake unamrank labda atakuwa mtu wa namna fulani.Aah wapi mi sioni aibu mbona wewe nilikufungukia tu kwamba nakuzimia
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikutanie nna utani na wamasai Mimi? ( teh sijui kweli we mmsai? Kwa miss chagga hapana aisee alishanipora mume wangu wa kwanza sirudii kosa[emoji13] [emoji13]Hivi kweli unanipenda? Ujue nilijua unanitania... niambie kama vipi ukikutana na miss chagga twende wote kabisa ukanitambulishe
Huo uke wenza sasa!!
Hahaha hujawahi kupenda kwa mwandiko?Kuna kitu kimoja kibaya saana kwenye hizi sites... unazoeana na mtu na kutokana na mwandiko wake unamrank labda atakuwa mtu wa namna fulani.
Na akili inajijenga hivyo. Usiombe siku ukutane na taswira tofauti. Ndiyo unaanza kumpotezea taratibu.
I need psychologist on this.
Yeah, mmasai na mashuka yangu. Basi nitaanza kukupenda kuanzia sasa hivi.Nikutanie nna utani na wamasai Mimi? ( teh sijui kweli we mmsai? Kwa miss chagga hapana aisee alishanipora mume wangu wa kwanza sirudii kosa[emoji13] [emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaa unaanza kunipenda mimi nimeshakata tamaa kabisa lohYeah, mmasai na mashuka yangu. Basi nitaanza kukupenda kuanzia sasa hivi.
Teh wewe usikute lengo ukutane naye umrushie kipapa akafie marangu.
Inatokea achana na kupenda kuna urafiki tu wa kawaida ila unashangaa kila mmoja akishamjua mwenzake....
Basi ulikuwa haunipendi.... yaani umeshindwa kunivumilia tumiaka tu3 wakati wengine wanasomeshwa upadri miaka 7.
Yaani hata urafiki wa kawaida unaisha mkishajuanaInatokea achana na kupenda kuna urafiki tu wa kawaida ila unashangaa kila mmoja akishamjua mwenzake....
Ule uchangamfu unaisha na mawasiliano yanaanza kuisha taratibu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata nyie sio wote wanakubali kuzungushwaBasi ulikuwa haunipendi.... yaani umeshindwa kunivumilia tumiaka tu3 wakati wengine wanasomeshwa upadri miaka 7.
Mwisho wa siku wanakuja kugundua ni waubavu?
MIMI NAPENDA USINIKUBALI HARAKA. BASI ACHA NIANZE KUKUTONGOZA KAMA WEWE UMENISHINDWA.[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata nyie sio wote wanakubali kuzungushwa
Sent using Jamii Forums mobile app